Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
- Thread starter
-
- #21
Hahahaha jaman MO kafanyaje tena?Hii michezo anaifahamu muhindi mmoja anaitwa MO
Ni mtabe wa fixed match kwa east & central AfricaHahahaha jaman MO kafanyaje tena?
Shukurani mkuuNatumia hiyo app kwenye link na Kama unataka ambayo ipo modded sema nikupe link pia
Hi,
I am using Stylish Text app on my android phone.
Download :
Stylish Text - Fonts Keyboard - Apps on Google Play
Fonts Keyboard, Stylish Fonts, Kaomoji, Nickname Generator, Sticker Makerplay.google.com
Kwenu kuandika title hakunaga mbwembwe kama hizi mkuu."KAMA HIVI" unaweza andika bila kutumia app yoyote, JF pekee inatosha
Fixed match ni 4-0Habarin za jion wana sport na heri ya sikukuu ya Eid.
Labda niende moja kwa moja kwenye point nimejaribu kugoogle lakin sijaridhishwa na majibu yao. Nakua naona watu wanauza odds na kunakuwa na maneno kama "fixed match", hili neno(sentensi) maana yake nini hasa, naomba kueleweshwa.
Compliment ya nini we sema kama ni moderator ama vepeI will take this as a compliment... Ahsante...
Braza hebu tumia lughaIkishindikana tutachezea uwekezaji wa SoKA Tu hakuna mtu aliyezaliwa kufikiria dharau... Huo mfumo wanaujua Bora hata ya Simba kupigwa 4. Mengine Yaja watakosa pumzi uwanjani. "Hatuna hadhi ya kucheza hata SoKA"
Kweli ukiwa rais tutazaa watoto wengi na wengi utawarisha vizuri kuongea hela Kwa watu itakuwa kipaumbele kila raheri mheimiwa maana ni kusafiri kila siku maana tutakuwa wengi la sivyo incumbeta ya mwanadamu inatakiwa ili wazaliane Sana, wahazee bar, nyumba za kupanga, gesti la sivyo lawama za kufikiri masaa 24 Kwa baadhi ya watu wengine wale maisha
UmejuajeNi mtabe wa fixed match kwa east & central Africa