Fixed matches ni ukweli au janja janja?

Fixed matches ni ukweli au janja janja?

Lizo mkristu

Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
75
Reaction score
95
Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
 
kuwa makini na wahuni. hamna code zenye odds za uhakika. jaribu googling kuna video inaonyesha jamaa anaedit bet ya BetPawa
 
Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
Fikiria tu ile mechi ya juzi kati ya simba na Mlandege! Ulifikiria Mnyama angefungwa na kutolewa kwenye mashindano, huku akiwa ni bingwa mtetezi?
Walipanga matokeo bila shaka!!!!

Na kama kuna atayebisha, basi na yeye aje na ushahidi usio na shaka; wa timu ya Yanga kununua mechi, wachezaji na waamuzi; ili kupata matokeo.
 
Back
Top Bottom