Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
Fikiria tu ile mechi ya juzi kati ya simba na Mlandege! Ulifikiria Mnyama angefungwa na kutolewa kwenye mashindano, huku akiwa ni bingwa mtetezi?
Walipanga matokeo bila shaka!!!!
Na kama kuna atayebisha, basi na yeye aje na ushahidi usio na shaka; wa timu ya Yanga kununua mechi, wachezaji na waamuzi; ili kupata matokeo.