wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match
Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje wanaweka mizigo wanakula odds kirahisi, huwezi kuzikuta hizi taarifa zinazagaa zagaa mitandaoni kirahisi.
Tim inapoamua kuyapata matokeo haya ni lazima iwe siri ya watu wachache hasa ndani ya timu, sio kitu cha kugoogle au kukikuta uchi uchi mtandaoni,
kuzikuta fixed matches za elfi kadhaa au laki laki hizi huo ni utapeli,