Fizi zinauma

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
632
Reaction score
407
Habari wana jukwaa.moja kwa zote twende kwenye mada fizi zangu zinaniuma balaa hasa nikila kitu cha moto nn tatizo waungwana na nitumie dawa gani msaada vijembe nope
 
Habari wana jukwaa.moja kwa zote twende kwenye mada fizi zangu zinaniuma balaa hasa nikila kitu cha moto nn tatizo waungwana na nitumie dawa gani msaada vijembe nope
fizi za meno yapi? au zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…