FL Studio 20.7 Vibey n Cool Beat Making

Kichenza mi natumia speaker ndogo za Kodtek au headphones za weile, but beat kwa subwoofer ina sound good kusikiliza uki plug out na kuisikia hivi hivi plain inakuwa ya ovyo mno 😹😹😹😹😹. By the way thanks for your advice
 
Pablo Blanco mambo ya music theory mimi kwa mara ya kwanza niliyashuhudia kwenye BusyWorksBeats, lakini contents zake nyingi ni premium. Nakumbuka ni site moja ilikuwa ni free sema terminologies zipo zakutosha ma rythm, melody ,key, note, half step ,whole step, plus whole step. Mambo ya major 0-4-7 na minor 0-3-7 nikiifuma hiyo site nitaleta mrejesho
 
mkorea mbaya zaidi unapiga piano unapata melody kali sasa kui add kwenye playlist mambo tayar sijui uchawi gani unatokea unavyoanza ku add vitu vingine unaweza kukaa masaa 4
 
Kichenza bwana Chuki_beatz nilimfuatilia video yake moja ya ku 'record' vocal kwenye Fl aisee yupo na mambo mengi mno hataki kutoa details complete sijui ile video aliitoa akiwa na hype maana alikuwa anakenua kuonesha golden slug tu 😹😹😹😹. By the way he is good
 

Sabufa sio ishu..ema the boy mwanangu sana.. nishawai kumuona mara kibao akifanya mixing na mastering kwa kufata hesabu tu.. ukijua hesabu za mziki hata bila spika special unatengeneza mziki na unafanya mixing na mastering kali
 
Sabufa sio ishu..ema the boy mwanangu sana.. nishawai kumuona mara kibao akifanya mixing na mastering kwa kufata hesabu tu.. ukijua hesabu za mziki hata bila spika special unatengeneza mziki na unafanya mixing na mastering kali
nazungumzia kwa beginer. mtu anayeanza simshauli sana atumie sabufa bora achukue production headphon mana kutengeneza mziki kwenye sabufa na ukatoka vizuri inaitaji hesabu kali sana kwa maana ya settings zilizo simama..., lazima uwe pro kutoa mziki mzuli kwenye sabufa
 
ukiwa unatengeneza mziki kwenye sabufa ile mikito huwa inanoga sana..shida inakuja ushamaliza kutengeneza ngoma yako itoe sasa ipeleke kwenye device nyingine ndo unakuja kukuta snare zinalia Kama vibati vya singeli
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
uwe na bajet kama milioni hiv na kuendelea inategemeana unataka version ipi...mfano Kama Yamaha hs8 nikama milioni na nusu hivi
ni za kuagiza au hata bongo zipi.yamaha hs8 ndo latest version?
 
FL is tricky ina mavitu mengi ila cheza nayo tu ukiizoea utakuwa freshi
 

[emoji2957] nilkua nasoma hii coment nikacheka [emoji30][emoji30][emoji16][emoji23], me nimeanza kujifunza kupiga beat hii siku ya tatu ila nikikuskilizisha lazma unipongeze. Najipa 7/10 nipo vizuri kaka ila sasa tatizo ni moja. Natumia sabifu na pic yangu tu geto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…