FLAGSHIP SOUNDBARS

FLAGSHIP SOUNDBARS

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,813
Reaction score
1,827
Tupitie pamoja flagship soundbars.

1. Nakamichi Dragon 11.4.6 :

Description:
Hii soundbar ina channels 21 katika configuration ya 11.4.6. Pia ni soundbar ya kwanza kusapoti DTS:X Pro ambayo ni upgrade ya DTS:X inayosapoti channels(au spika)11 tu. Hii DTS: X Pro imeongeza channels kufikia 32.

Bar ina urefu wa inchi 58 kwa hiyo inahitaji TV ya kuanzia 65"
Inasapoti , DTS:X, DTS:X Pro, DTS HD Master Audio, DTS HD High Resolution Audio, DTS Digital Surround na pia inasapoti teknolojia zote za dolby ikiwamo, Dolby Atmos, Dolby TrueHD, Dolby Digital+, Dolby Surround,. Pia Dolby Vision, HDR 10+, 4K 120, 8K 60 passthroughs ,nk. Na kwa gamers, support ya VRR,ALLM na FRL inafanya latency iwe chini sana.

Speakers: System ina drivers 31 jumla, kati ya hizo:
-Upfiring drivers zipo 6; 4 kwenye bar 2 kwenye surround speakers. System inatumia Adaptive HeightDispersion Technology kwa ajili ya kuboresha experience ya height channels. Hapa una options za kuamua height channels soundstage iwe vipi.
- Surround speakers 2 kila cab
inet ikiwa na drivers 3>1 upfiring na 1 side na 1 rear. Surround speakers wameziita Omnimotion reference surround speakers.. Upfiring speakers zinarotate 180° kwa ajili ya kuzipatanisha na situation mbali mbali za chumba kupitia "PerfectHeight mechanism" feature.
-AMT(Air Motion Transformer) tweeters 7 (3 on bar and 4 on surrounds), for excellent accuracy and detail of high frequency effects.
-Subwoofer: Hapa Mjapani kafanya kufuru; yaani kakabidhi channel ya subwoofer kwa drivers 4 katika cabinets 2. Inaonekana hataki lawama kuhusu bass😊. Hata hivyo una options za idadi unayotaka. Unaweza kutumia zote 4 kwa wakati mmoja au kuzipunguza kulingana na mahitaji yako ya bass.
Spika zote ni wireless na power output inafikia 3000W.

Room correction: Yes, inatumia Spacial Surround Elevation technology kwa room correction. Lengo la room correction ni kufanya signals ziende moja kwa moja kwenye masikio badala ya ku bounce kwenye kuta au vitu vingine kabla ya kuja kwako. RC ni muhimu sana kwenye movies.

Sound optimization: Ndio, Inatumia VolumeLevel Calibration technology kwa ajili ya sound optimization. Optimization inabalance sound signals.
*System imesifiwa sana kwa clear dialogue hata kwenye mazingira ya heka heka, mfano, ukumbi wa starehe, mitaa yenye kelele nyingi,nk), pia optimised bass

Connectivity: Wired>3 x HDMI 2.1 In, Optical In, Aux In+HDMI 2.1 (eARC) Out, Optical Out, Aux Out. +USB kwa ajili ya firmware updates
Wireless> * Bluetooth>Version 5.0 ikitumia teknolojia ya aptX™ HD kutoka Qualcomm. Kwa hiyo tarajia high sound quality streaming.
Bluetooth connectivity ni kwa bar na surround speakers. Yaani ukiunganisha bar kwa Bluetooth system mzima itafanya kazi lakini pia unaweza kuunganisha surround speakers peke yake kwa kuwa zimewezeshwa bluetooth connectivity kila moja. Mfano kama unataka kufurahia mziki huku ukipumzika labda chumbani unaweza kutumia mojawapo ya surround speakers na simu yako au ukaconnect zote 2 kupata stereo system kama tufanyavyo kwa kutumia Bluetooth earbuds na vifaa vingine.
*WiFi > No.Hapa wametuangusha sana.

Voice commands: Hakuna kwa sababu system haina microphones.Wametuangusha kwa mara nyingine. Kwa sababu hiyo, speaker calibration inafanyika physically labda kwa kupima kwa tape measure.

App operation: Yes

Bei: Hapa sasa ndio mgogoro unapoanza😀. Mjapani anakuachia kwa $3899! Lakini kama dola 3899 sio tatizo kwako, my, you can go for the beast you won't regret👍.

2.JBL Bar 1300X

Description:
Hii ni flagship soundbar kutoka JBL Ina channels 16 ( 11.1.4). Pia inasapoti Dolby Atmos, DTS:X pamoja na Dolby Vision, HDR 10+ passthrough. Pia inashughulikia vizuri sana Atmos hususan height channels na inasapoti HDMI 2.1 120 na 4K passthroughs hasa kwa gamers, ikiwa ni upgrade kutoka bar 1300.

Speakers: Jumla drivers ziko 16 kati ya hizo>
Upfiring> 6, 4 kwenye bar na 2 kwenye surround speakers. Hata hivyo, system inasapoti channels 4 tu za juu🤔
Surround speakers> 2, self-powered, kila moja ikiwa na drivers 3, 1 ya juu(upfiring). Surround speakers ni aina ya Low-Depth Racetrack drivers na zinakuja na battery ya 6000 mAh kila moja. JBL wali introduce battery-powered surround speakers tangu walipoanza kusapoti Atmos. Unazichaji kwa kuziunganisha kwenye bar. Ukipenda, unapochaji unaweza ukawa unaburudika na mziki.
Subwoofer: 1, ikiwa na inchi 12 ndio subwoofer kubwa kuliko zote katika soundbar category. Dragon ni 8", lakini kumbuka ziko 4 kwa hiyo combined amplitude iko juu sana.
Power output ni 1170W

Room correction: Ndio, inatumia MultiBeam technology

Sound Optimization: Yah, Custom Sound Calibration technology inatimiza hilo.
-Pia system inakuja na PureVoice Dialogue Enhancement technology kwa clear dialogue. Utasikia mazungumzo kwenye movie kwa urahisi sana hata kukiwa na kelele.

Connectivity: Wired> 3 HDMI inputs and 1 optical TOSLINK input +1 eARC HDMI output
Wireless: WiFi, yes
Bluetooth. Yap, Bar Inatumia version 5.0 na surround speakers.V 5.2. Kwa hiyo surround speakers unaweza kuzitumia peke yake kwa mziki (kama za Dragon) na kwa kuwa ni battery- powered unaweza hata kwenda nazo kwenye garden ukapumzika huku ukiburudika na mziki.

Voice commands: Ndio, Alexa, Google Assistant, Airplay & Siri

App operation: Yes

Bei: $1699.95

3. Samsung HW-Q990D

Description:
Kama JBL, hii soundbar kutoka Samsung inasapoti channels 16 (11.1.4) Inasapoti Dolby Atmos ,DTS: X, pia Dolby Vision,HDR 10 passthroughs.
Soundbar inasapoti wireless Atmos. Hii ina maana kuwa inaweza kupokea high resolution audio signal yenye Atmos codec bila waya kutoka baadhi za TV za Samsung.

Speakers: Bar ina jumla ya drivers 21 na kati ya hizo>
* Surround speakers 2
* Upfiring: zipo 4, 2 kwenye bar na 2 kwenye surround speakers.
  • Forwardfiring: 14 kwenye bar
  • Subwoofer: 1, ikiwa na inchi 8, iko nyuma sana ya JBL. Hata hivyo performance inaweza isiwe nyuma sana kwa sababu 2; kwanza Samsung wameongeza acoustic lens kwenye subwoofer ili ku minimize sound waves dispersion na pili kwenye bar wameongeza digital subwoofer(au virtual subwoofer) ambapo spika za kawaida kwa ajili ya mid range frequencies zinawezeshwa kuhandle low frequencies. Kwa hiyo Samsung wanazitumia kama back-up subwoofer. Kwa hiyo wanaahidi bass ya kuridhisha.
*Power output ya hii system 656W

Room correction: Ndiyo, inatumia Adaptive Sound technology kwa room correction Pia Active Voice Amplifier inahakikisha unasikia mazungumzo vema kabisa.

Sound optimization: Ndiyo, inatuma teknolojia ya SpaceFit Sound Pro kwa sound optimization. Na kwa kuongezea, pia system inatumia artificial intelligence (AI) kwa ajili ya optimization.
Pia hii system inakuja na Q-symphony technology ambapo stereo speakers za TV zinaunganishwa kwenye bar na kutumika kama audio system moja. Commands zote kwenye spika za soundbar zinafanya kazi pia kwenye spika za TV. Lakini ni baadhi tu ya TV models za Samsung zilizowezeshwa Q-symphony technology.
-Private Listening mode ina "mute" spika zingine zote na kufanya surround speakers pekee kuwa kazini . Ni usiku wengine wamelala hutaki kuwasumbua na kelele kwa hiyo hii feature itakusaidia kuburudika bila wengine kunyang'anywa usingizi wao.

Connectivity: Wired> 2x HDMI - Audio/Video
1x HDMI - Audio/Video/eARC
1x Optical TOSLINK - Audio
Wireless: WiFi , Bluetooth ( pia surround speakers zimewezeshwa Bluetooth connectivity kwa hiyo inaweza kutumika peke yake kama and za JBL na Dragon .

Voice commands: Ndio , Alexa (Amazon), Chrome cast, Airplay 2 kwa voice commands.

App operation:Yes

Bei: $1997.99.
 
Mkuu umesahau kutuletea tu picha.
 
Mkuu CORAL hiyo Private Listening mode ipo pia kwenye JBL?

Ikiwa wewe binafsi umepewa uchague kati ya JBL na Samsung utachagua ipi?
 
kelphin
Wee mapaziaa unaitwaa huku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂
Mkuu inaonekana Dragon sound yake ni mziki mnene kuliko kitu chochote hapa duniani, japo halina WiFi ila unyama sana haiwezekani dude lina subwoofers nne.
Nawaza hili dude linanifaaa ngoja niliweke kwenye priority list maananishajenga na mimi ni mdau wa mziki mnene.
 
Mkuu CORAL hiyo Private Listening mode ipo pia kwenye JBL?

Ikiwa wewe binafsi umepewa uchague kati ya JBL na Samsung utachagua ipi?
JBL haina hicho kipengele inabidi ufanye equalization na kucontrol volume iwe chini ili usisumbue wengine .
Kuhusu mimi ningSearechagua ipi. Bila shaka JBL ingawa hata Samsung inanivutia sana
Mkuu inaonekana Dragon sound yake ni mziki mnene kuliko kitu chochote hapa duniani, japo halina WiFi ila unyama sana haiwezekani dude lina subwoofers nne.
Nawaza hili dude linanifaaa ngoja niliweke kwenye priority list maananishajenga na mimi ni mdau wa mziki mnene.
Kweli mkuu jipinde uisogeze geto 👍 Hata hivyo utahitaji TV ya kuanzia 65" kwa sababu bar ni ndefu na haipendezi bar iwe ndefu kuliko TV.
 
Back
Top Bottom