Sasa ukilinganisha midrange soundbar zote...hisense,skywood na nyinginezo hamna kama VIZIOKiufupi walio sifia vizio wote ni wauzaji au hawajawahi kusikia sauti ya SONY, kiufupi vizio hana majabu yoyote ukibisha kunya ukalale vizio m elevate, hamna maajabu, frequency 40hz ndo inanzia, hapa nataka nikairudishe hata nibebe tv niwe nangalia porn grapy kuliko kusikia mziki wa kelele usio na maana
Chief kwa soundbars hakuna kama Vizio, unataka Dundo beba AVRKiufupi walio sifia vizio wote ni wauzaji au hawajawahi kusikia sauti ya SONY, kiufupi vizio hana majabu yoyote ukibisha kunya ukalale vizio m elevate, hamna maajabu, frequency 40hz ndo inanzia, hapa nataka nikairudishe hata nibebe tv niwe nangalia porn grapy kuliko kusikia mziki wa kelele usio na maana
Basi hapo nimekuelewa, ukitaka dundo tumia AVR ila soundbar mkito sahau, unalamba stereo na future's zakeChief kwa soundbars hakuna kama Vizio, unataka Dundo beba AVR
Sawa ila watu wanazisifu lakini sioni majabu mm, ya kawaida sana m elevate,Sasa ukilinganisha midrange soundbar zote...hisense,skywood na nyinginezo hamna kama VIZIO
Hili hapaMi kwangu sjataka mambo mengi nlinunua active subwoofer ya AR-M10 ni 10 inch carpeted boom box, magnet 20 oz, voice coil kvs 1.5 ni 4 layers, frequency 40 to 200hz, 4omhs, sensitivity 90db/m.w. kisha nikanunua used receiver ya sony na twita 4 za mtumba nikafunga kaz ni hatari narudia tn ni hatari hzo sound bar zenu hzo za milion hazsogelei hapa.