Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Hizo file ziko hidden na tumia console kuziunhide...Ninayo flash disk yangu ya 4gb ambayo nili save files zangu za masomo ndani yake lakini kwa bahati mbaya nadhani ilibeba kirusi kikaleta shida, na kwa sababu hiyo naona kama baadhi ya mafaili hayaonekani katika baadhi ya computer lakini katika baadhi ya computer yanaonekana.
Nilisha i format na hata nilipoyarudisha bado siyaoni. Kuna Pc zingine haziyaonyeshi lakini zingine zinayaonyesha yakiwa faint.
Wakuu nifanyeje? maana hayo mafaili ni ya muhimu sana kwangu na najua yamo.
M-FisadiNinayo flash disk yangu ya 4gb ambayo nili save files zangu za masomo ndani yake lakini kwa bahati mbaya nadhani ilibeba kirusi kikaleta shida, na kwa sababu hiyo naona kama baadhi ya mafaili hayaonekani katika baadhi ya computer lakini katika baadhi ya computer yanaonekana.
Nilisha i format na hata nilipoyarudisha bado siyaoni. Kuna Pc zingine haziyaonyeshi lakini zingine zinayaonyesha yakiwa faint.
Wakuu nifanyeje? maana hayo mafaili ni ya muhimu sana kwangu na najua yamo.
Nitalishughulia na nitaleta matokeo hapaM-Fisadi
Umefaniksisha tatizo lako
Yes invisible I have seen your respond in members only threads. I plan to work on your views and will post the resultsRequest what you need
I responded to you via that topic, as long as you're a member I believe you have access with it.
Furthermore, this' good to make unregistered members have their own views on your prob.
Kind regards