Flash back, Mj akifanya shopping Las Vegas

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Aiseee kweli kuna watu wameishi hapa Duniani, hii clip ni ya MJ akifanya shopping mitaa ya Las Vegas , shopping anaifanya kwa kunyoosha kidole tuu , hajali kuhusu bei, yeye ni mwendo wa kunyoosha tuu kidole “Nataka hicho” ...

Kweli sanaa inalipa, juzi huku kwetu ndugu yetu Naseeb Abdul alinunua Vito vyenye thamani ya milioni 48 ikawa bonge moja la story( hii pesa unajenga kabisa), ila akija akaona hii clip atahisi alinunua viazi au karanga maana watu wananunua mavitu hata hayajulikani kwa mabilioni na jamaa hana hata habari yaani..

Kuna baadhi ya watu wanasema hili Duka mpaka leo wanaionyesha hii clip ya namna MJ alivyofanya kufuru ya manunuzi [emoji1544]

https://youtu.be/HRnCX-8hA4A
 
Mi nikajua Master J
 
Nina album zake kama tatu hivi. Napenda sana nyimbo zake.
 
Back
Top Bottom