Flash tools or Signed Firmware

Nina idea brother,sio fundi.

Kama sio fundi unahitajia ujikite zaidi katika ufundi ili uweze kuwa mzoefu. Kwanza unatakiwa uwe na Pc au Desktop then unatakiwa u-install Driver za Chip husika ya simu unayotaka kuifanyia kazi.

Pia unatakiwa ufahamu simu husika ni chip aina gani ukishafahamu ndo process za kuifanyia kazi unaanza maana bila kufahamu chip ya simu huwezi kufanya chochote.


Hizi ni chip baadhi MTK, SPD, QUALICOMM, N.k....

Unaweza ukawa na Simu ya Tecno lakini Chip yake ikawa ni Mtk, Spd, au Qualicom.

Vile vile unawez ukawa na Infinix lakini chip yake ikaw Mtk, Spd, Qualicomm.

Pia unatakiwa ufahamu kwanini simu zingine zinahitaji DA na zingine zinakubali vizuri.

Ngoja niishie hapo watakuja na wezangu kumalizia[emoji39]
 
Wakuu naomba software za kugenerate sim code,phone code kupitia imei

Yaan nikijaza imei tu niweze kufungua sim lock
 
Ivi hizo donge au box hua zinamaliza mda baada ya mda gani?

Na crack hua zinachukua mda gani ku.expire.

Box/Dongle ni kutokana na jinsi utakavyo amua mwenye, ni kuaniza mwaka hadi miaka miwili.


Crack haina expire date, na haiwezi kupata update ya vitu vipyaa.
 
Box/Dongle ni kutokana na jinsi utakavyo amua mwenye, ni kuaniza mwaka hadi miaka miwili.


Crack haina expire date, na haiwezi kupata update ya vitu vipyaa.
Asante...tatizo unaweza ukanunua na usipate wateja hivyo inakua vigumu kurudisha pesa yako
 
FLASH TOOLS FOR SMARTPHONES AND OTHER ACCESORIES NEEDED.
 
Forsure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…