Flash ya majina ya walimu wapya yapotea

Flash ya majina ya walimu wapya yapotea

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Kwa kweli mimi najisikia kufa kufa baada ya kusugua bench tangu may 2013 na ka diploma kangu ka ualimu nikiwa nasubiri ajira mpya. Kunamtu alisema Mulugo alipo kabidhi ofisi walisahau kumuomba Flash disk yenye majina ya walimu wapya watarajiwa. Sasa akatumwa mtu aende Songwe kufuata Flash ili wayaupload hadi sasa kimya. Sijui aliipata! Sijui jamaa aliitupa kwa hasira! Au yameliwa virus/ trogen horse/worms? Kassim Majaliwa aliahidi yange tolewa January sasa naona January inaishilizia hivyo, angekuwa nayo flash yeye angesha yatoa maana yeye hakupitiwa na fagio la chuma, sasa Mh kassimu mbona kimya?
 
Acha utoto wewe inaonekana huna hekima kabisa,kwa mtindo huu unataka kazi ya nini? Umejaa dharau na kufakufa sasa unataka kazi ya nini.
MHESHIMIWA KAWAMBWA DIPLOMA WENGI NI MAJANGA.
 
Acha utoto wewe inaonekana huna hekima kabisa,kwa mtindo huu unataka kazi ya nini? Umejaa dharau na kufakufa sasa unataka kazi ya nini.
MHESHIMIWA KAWAMBWA DIPLOMA WENGI NI MAJANGA.

Wewe unaetetea ajira kuchelewa umetumwa sio bure! Unajua hawa watu walivyo na shida mtaani? Unajua hata private nafasi zinazingua za masomo ya sanaa hasa history na kiswahili? Wewe kama maisha kwako/kwenu mambo safi usichukulie wote poa. After all wewe unaijibia wizara? Basi sema watapata lini ajira sio kuhukumu mtoa mada hana hekima! Acha kutisha wewe hata asipo pata ajira wewe uta faidika nini? Hujui anaweza jaaliwa ki maisha kuliko hata wewe? Au unajua maisha bora hadi uajiriwe na uwe fisadi?
 
Back
Top Bottom