Flat screen

Flat screen

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Wakuu naombeni mnipe shule kuhusu hizi tv ambazo ni flat scren za 'startimes', zikiwa na ving'amuzi tayari.

Zina ubora gani ukufananisha za za aina nyingine kama za sony na sumsung.
Nimezikuta dukani nikashindwa kuchagua japo bei takriban zote zinafanana.
 
kuna mtu aliuliza hili swali wakulu wakauchubua.......ngoja tusubirie
 
Back
Top Bottom