Flat ya kawaida tubadililishane na Smart tv plus laki moja juu? Mwanza

Flat ya kawaida tubadililishane na Smart tv plus laki moja juu? Mwanza

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Jamani Mgosi nawaletea dili hili, kama una shida ya pesa ya fasta bila kupoteza.

TV INCH32,
Kampuni PineTech
Flat screen ya kawaida
pesa -100k cash
 
Kama shida ni kua na smart, bora ununue Android Dongle tu. Kuliko kupewa TV ya mtu ata haujui matunzo yake.
41jM1aia1qL.jpg

Brands ziko nyingi vipo hadi vya Tsh 70,000/= NEW.
 
Yeah fanya ivo. Hizi TV za Smart na Android unaweza kua nayo afu usitumie kabisa izo Apps.

Mfano: Mi Smart yangu naingiaga YouTube tu. Hafu ulaji wa bando ni mkubwa sana kuliko kwenye simu. Bora niingie kwenye simu hafu nika castmirror.
hee mkuu kumbe inatafuna bundle sana
 
Yeah fanya ivo. Hizi TV za Smart na Android unaweza kua nayo afu usitumie kabisa izo Apps.

Mfano: Mi Smart yangu naingiaga YouTube tu. Hafu ulaji wa bando ni mkubwa sana kuliko kwenye simu. Bora niingie kwenye simu hafu nika castmirror.
Mkuu mm nilikua naunganisha na computer kupitia HDMI sasa kwene computer bundle ni nyingi sana nikajua labda smart hazitumii bundlee maana masuala ya ku update app hamna
 
Mkuu mm nilikua naunganisha na computer kupitia HDMI sasa kwene computer bundle ni nyingi sana nikajua labda smart hazitumii bundlee maana masuala ya ku update app hamna
Kuna factors nyingi za kuzingatia. Ila kubwa kabisa, nikuulize:
- Unataka Smart TV ya nini? [Matumizi]
 
Kuangalia wimbo YouTube kwa 4K kwenye smart TV utatumia zaidi ya MB 200 kwa dakika kucheki YouTube [na ni kwasababu YouTube wana compress videos] ukienda streaming services nyingine hadi 600 MB kwa dakika.
gharama sana hiyo
 
Back
Top Bottom