Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
zinakuaje hizi kaka nipe shuleKama shida ni kua na smart, bora ununue Android Dongle tu. Kuliko kupewa TV ya mtu ata haujui matunzo yake.View attachment 2985639
Brands ziko nyingi vipo hadi vya Tsh 70,000/= NEW.
hii nilikua siijuiKama shida ni kua na smart, bora ununue Android Dongle tu. Kuliko kupewa TV ya mtu ata haujui matunzo yake.View attachment 2985639
Brands ziko nyingi vipo hadi vya Tsh 70,000/= NEW.
Funguka zaidi.Kama shida ni kua na smart, bora ununue Android Dongle tu. Kuliko kupewa TV ya mtu ata haujui matunzo yake.View attachment 2985639
Brands ziko nyingi vipo hadi vya Tsh 70,000/= NEW.
kwakweli mi mwenyewe nilikua sijui hiiFunguka zaidi.
Hako kadude (dongle) kanaigeuza tv yako ya kawaida inakua Android TV au Smart. Ni kadogo unaunganisha kwenye HDMI port ya TV yako. Then boom inakua Smart.Funguka zaidi.
Ebu nikaulize beiHako kadude (dongle) kanaigeuza tv yako ya kawaida inakua Android TV au Smart. Ni kadogo unaunganisha kwenye HDMI port ya TV yako. Then boom inakua Smart.
Yeah fanya ivo. Hizi TV za Smart na Android unaweza kua nayo afu usitumie kabisa izo Apps.Ebu nikaulize bei
hee mkuu kumbe inatafuna bundle sanaYeah fanya ivo. Hizi TV za Smart na Android unaweza kua nayo afu usitumie kabisa izo Apps.
Mfano: Mi Smart yangu naingiaga YouTube tu. Hafu ulaji wa bando ni mkubwa sana kuliko kwenye simu. Bora niingie kwenye simu hafu nika castmirror.
Mkuu mm nilikua naunganisha na computer kupitia HDMI sasa kwene computer bundle ni nyingi sana nikajua labda smart hazitumii bundlee maana masuala ya ku update app hamnaYeah fanya ivo. Hizi TV za Smart na Android unaweza kua nayo afu usitumie kabisa izo Apps.
Mfano: Mi Smart yangu naingiaga YouTube tu. Hafu ulaji wa bando ni mkubwa sana kuliko kwenye simu. Bora niingie kwenye simu hafu nika castmirror.
Kuna factors nyingi za kuzingatia. Ila kubwa kabisa, nikuulize:Mkuu mm nilikua naunganisha na computer kupitia HDMI sasa kwene computer bundle ni nyingi sana nikajua labda smart hazitumii bundlee maana masuala ya ku update app hamna
Kuangalia wimbo YouTube kwa 4K kwenye smart TV utatumia zaidi ya MB 200 kwa dakika kucheki YouTube [na ni kwasababu YouTube wana compress videos] ukienda streaming services nyingine hadi 600 MB kwa dakika.hee mkuu kumbe inatafuna bundle sana
gharama sana hiyoKuangalia wimbo YouTube kwa 4K kwenye smart TV utatumia zaidi ya MB 200 kwa dakika kucheki YouTube [na ni kwasababu YouTube wana compress videos] ukienda streaming services nyingine hadi 600 MB kwa dakika.
ya kuangalia video za online hasa youtube mambo ya ku download nishachokaKuna factors nyingi za kuzingatia. Ila kubwa kabisa, nikuulize:
- Unataka Smart TV ya nini? [Matumizi]