Wence japhet
Member
- Oct 7, 2018
- 9
- 2
Nilikuwa naitaji flatscreen inch 42 kwa kuagizia ss nimepitia changa moto flan hv ikabidi ni chukue inch 32Mkuu umeinunua mwezi mmoja ulopita leo unaiweka kwenye sell why?
Pili Celcus ni brand ya nchi gani?
Kuhusu hilo jipe uhakika ingia Google broMkuu umeinunua mwezi mmoja ulopita leo unaiweka kwenye sell why?
Pili Celcus ni brand ya nchi gani?
Jipe uhakika ingia Google utapata uhakika na picha utazionaBrand ya nchi gani
Upo Dar au wapi?Aina Celcus full HD,2 HDIM,1 USB na 2 AV support haina tatizo lolote namba 0687 79 46 65 namba ya tigo lkn unaweza usinipate 0713 01 18 78
Bei laki 350 top haina maelewano View attachment 900912View attachment 900914View attachment 900915View attachment 900916View attachment 900918View attachment 900919
Nipo darUpo Dar au wapi?
Inch 32ina ukubwa gani hiyo?