mwenye no za flaviana anipe natak nmtumie pesa ya sodaWanawake wenye tamaa huwa wanafiki sana.Hasa hawa wetu huku.
Huyu ni mwanamke maarufu aliandika yake ya moyoni kuwa anavutiwa kingono na wanaume weusi.
Ijapo bwana yake simfahamu,hiyo ni kengele ya tahadhari kwamba anaweza kufanya chochote na mtu mweusi aliyevutiwa naye.Ninahisi bwana ake hana hiyo rangi nyeusi.Huenda yuko naye kwa tamaa ya pesa na umaarufu wake.Ila havutiwi naye kingono.
Ila sasa ni kwanini hakutafuta huyo black hadi anasubiri kapata mwanaume mwenye light skin color ndipo anatangaza yake ya moyoni leo?
Namtakia balaa zito kwa kujaribu kumuumiza mwanaume wake sasa wakati alikuwa ana nafasi ya kumkataa kwa vile ana choice yake yaani wanaume weusi.
Akili mtu wangu usihamini mwanamke kwa kauli zake hata kidogo hawa maanishi hata kidogo wakisema hawapendi ni kinyume chake.
Hivi huu weusi unaozungumziwa ni upi?Asilimia kubwa ya wanawake hupenda wanaume weusi!
Dada MamboSijaona alipokosea
😂 Kasema poa, habar yako?Dada Mambo
#huyo wa kwenye picha 😁
😂 Ule wa jongoo hata mimi hapanaHivi huu weusi unaozungumziwa ni upi?
Ule weusi wa jongoo au,
Mimi sikubaliani na hao wanawake,
Bila kuwa na pesa ni bure tu.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Mwambie Sina habari mimi.😂 Kasema poa, habar yako?
Wanawake wenye tamaa huwa wanafiki sana.Hasa hawa wetu huku.
Huyu ni mwanamke maarufu aliandika yake ya moyoni kuwa anavutiwa kingono na wanaume weusi.
Ijapo bwana yake simfahamu,hiyo ni kengele ya tahadhari kwamba anaweza kufanya chochote na mtu mweusi aliyevutiwa naye.Ninahisi bwana ake hana hiyo rangi nyeusi.Huenda yuko naye kwa tamaa ya pesa na umaarufu wake.Ila havutiwi naye kingono.
Ila sasa ni kwanini hakutafuta huyo black hadi anasubiri kapata mwanaume mwenye light skin color ndipo anatangaza yake ya moyoni leo?
Namtakia balaa zito kwa kujaribu kumuumiza mwanaume wake sasa wakati alikuwa ana nafasi ya kumkataa kwa vile ana choice yake yaani wanaume weusi.
Nasikia huwa ana pokea za whisky 🥃mwenye no za flaviana anipe natak nmtumie pesa ya soda
Kumbe wachaga ni wazungu,?
z
Hahaha! Mm nimetoa boko mkuu.Kumbe wachaga ni wazungu,?
z
Alikuwa kijana ila naambiwa wame divorceHahaha! Mm nimetoa boko mkuu.
Lkn mbona mumewe ni mzee?
Hapa anapigwa Mwanaume mweusi pesa,[emoji23] Ule wa jongoo hata mimi hapana