Flaviana matata aula...

Flaviana matata aula...

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
Mwamitindo maarufu nchin Flaviana Matata amepata dili la kupiga kazi na kampuni mpya ya mavazi DIESEL & EDUN....BIG UP MDADA.. LOTTA BLESSINGS flaviana_diesel+edun.jpgnguo hizi zitaanza kupatikana kuanzia mwezi wa 3.flaviana_diesel+edun.jpg
 
Duh... Ngoja nijiweke kwake fasta
 
Aula kwa kuvaa vyupi na kuonyesha nyeti zake hadharani,heri kuwa mlofa kuliko kuonyesha nyeti kwa malipo hizo hela ni hela haramu tena hazitakasiki hadi kwa mola
 
ngoja nichungulie kwa mbaliiiiii!!
 
Ana kitovu kizuri jameni dah.
Pesa ina wa umbua wanawake wenye tamaa nazo jaman mpaka heshima yake ana tupa kule dah.
 
Aula kwa kuvaa vyupi na kuonyesha nyeti zake hadharani,heri kuwa mlofa kuliko kuonyesha nyeti kwa malipo hizo hela ni hela haramu tena hazitakasiki hadi kwa mola

samahani mkuu,unaweza kunisaidia na mimi nizione izo nyeti anazoonyesha unazozizungumzia??

hapo kwenye bluu, hongera mkuu kwa kuzungumza na mola mpaka akakueleza izo hela hatazitakasa..
 
Peleka ujinga wako mbele uko.
 
samahani mkuu,unaweza kunisaidia na mimi nizione izo nyeti anazoonyesha unazozizungumzia??

hapo kwenye bluu, hongera mkuu kwa kuzungumza na mola mpaka akakueleza izo hela hatazitakasa..

akishakuelekeza naomba na mie unielekeze...

Binadamu kwa kujaji...si ajabu anamlaani flaviana hapa huku kutwa kucha anashinda gesti
 
Back
Top Bottom