Leo nimeenda duka kubwa la Target nikakuta bango la Flaviana Matata kama model kwenye brand ya nguo marekani ndani ya duka hili kubwa nikaona isiwe tabu nichukue foto kumuenzi binti yetu huyu anayeipeperusha bendera yetu kimataifa.
Hongera Flaviana nimefurahi kuona mtanzania mwenzangu anawakilisha katika brands kubwa kubwa duniani!
Hongera Flaviana nimefurahi kuona mtanzania mwenzangu anawakilisha katika brands kubwa kubwa duniani!