Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,487
- 83
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio ana-stambo, naona kama anakigugumizi fulani hivi ila hakija mbana sana!Aahahahahahaa...not to knock her or anything lakini huyu dada kuna wakati alihojiwa na Michuzi kwa Kiswahili akawa anajibu kwa Kiingereza mimi nikadhani pengine yupo more conversant na proficient katika lugha hiyo kumbe wapi! Hapo kwenye hiyo clip ya kwanza naona ana stumble stumble tu....hehehehee wabongo bana....mbwembwe nyiiingi. Overall not bad though...
sio ana-stambo, naona kama anakigugumizi fulani hivi ila hakija mbana sana!
Mie naona ni pozi wala sio kigugumizi. Mie naona huyu anafaa mwakani kwenda kutuwakilisha.
Pozi gani hizo na wewe? Hayuko proficient kihivyo na Kiingereza cha kuongea....
Jamni hata mie naongea broken frech mpaka najicheka!!
Ukiulizwa swali kwa kiswahili huwaga unajibu kwa kifaransa?