Flaviana Matata ndani ya BBA4

Aahahahahahaa...not to knock her or anything lakini huyu dada kuna wakati alihojiwa na Michuzi kwa Kiswahili akawa anajibu kwa Kiingereza mimi nikadhani pengine yupo more conversant na proficient katika lugha hiyo kumbe wapi! Hapo kwenye hiyo clip ya kwanza naona ana stumble stumble tu....hehehehee wabongo bana....mbwembwe nyiiingi. Overall not bad though...
 
sio ana-stambo, naona kama anakigugumizi fulani hivi ila hakija mbana sana!
 
Hapo kwenye clip ya pili naona Kevin yupo busy kweli kum entertain "shemeji" yake
 
Mie naona ni pozi wala sio kigugumizi. Mie naona huyu anafaa mwakani kwenda kutuwakilisha.

Pozi gani hizo na wewe? Hayuko proficient kihivyo na Kiingereza cha kuongea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…