Flaviana Matata

Flaviana Matata

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Balozi wa Njaa tokea Tanzania.
Flaviana Matata. Mimi sijapenda hizi picha aisee huyu model au ? Daah
kweli kakosa ubunifu vazi gani sasa...
uongo dhambi kachoka kiakili.

SEMA UMEUPIGA MWINGI...
InShot_20230309_065705733.jpg
 
Tujitu tulikokosa nyama huwa tunajifanya tunajiamini sana.

Kama hako ukigombana nako utasikia nitakudunda. Halafu ukikapa kofi moja tu hakaamki tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom