Hata ukienda ukerewe pale ukitamka vile sidhani kama kuna mtu atakuelewa.Mkuu wewe ni mtu wa kagera.?? au unafahamu kihaya??
Yeye kwenye mahojiano na salama alisema babake msukumaWazazi wake wote wanyambo wa karagwe kaishe,sema wamezaliwa na kukulia shinyanga,mzee wake mpaka leo yupo shinyanga na familia yake kwa ujumla.
Duuh noma sana.Hata ukienda ukerewe pale ukitamka vile sidhani kama kuna mtu atakuelewa.
Ukitupiga dongo hakikisha na kwenu + kwako hawapo! πππSitaki ku-comment vibaya juu ya wanawake wembamba,,nisije anzisha ligi na bidada mmoja hivi [emoji16][emoji16]
Ukitupiga dongo hakikisha na kwenu + kwako hawapo!
Baba ake msukuma.. mama ake ndo mnyambo wa karangweWazazi wake wote wanyambo wa karagwe kaishe,sema wamezaliwa na kukulia shinyanga,mzee wake mpaka leo yupo shinyanga na familia yake kwa ujumla.
Baba ake msukuma.. mama ake ndo mnyambo wa karangwe
Unabishana kwa kujua au?Hana mzazi msukuma,zaidi ya kuzaliwa na kukulia usukumani.
Kwa taarifa Mv bukoba anataarifa zakeUnabishana kwa kujua au?