Hiyo ina deal na utengenezaji (desining), usimikaji (fubrication) wa viungo bandia pamoja na modification of disabled including polio. Hiyo kaka ni dili kubwa ikiwezekana apply for graduate mshahara wa kwanza ni 380007 u$ per year ambayo ni kama 5M kwa mwezi kama kuna uwezekano apply is very marketable. For more detail igoogle angalia sehemu ya salary,job opportunity, etc