CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Niliwatembelea hawa jamaa wa hii breed ya Ng'ombe na wakasema tukijiorganize wanaweza kuja kupandikiza hii breed, Hii ni Breed ambayo ni the second kwa utoaji wa maziwa, ambapo uazo wake wa pili na watutu hufikisha lita 45 kwa siku
Na ni lazima ikamuliwe mara 3 kwa siku.
Na ni lazima ikamuliwe mara 3 kwa siku.