Niliwatembelea hawa jamaa wa hii breed ya Ng'ombe na wakasema tukijiorganize wanaweza kuja kupandikiza hii breed, Hii ni Breed ambayo ni the second kwa utoaji wa maziwa, ambapo uazo wake wa pili na watutu hufikisha lita 45 kwa siku
Hello #Chasha ,
Asante kwa updates,
Nilikuwa natamani kufahamu gharama za wao kuwaleta kwa ng'ombe mmoja na kama inawezekana kupata contacts zao.
Asante mkuu.