Open University ni Chuo Kizuri lakin mashaka yangu ni katika muda wa kumaliza. Utatumia muda mrefu pasipo sababu. Nenda katika conventional universities kwa maana OUT ingewafaa sana watu ambao hawawezi kupata ruhusa za kuwa released fully kutoka katika kazi zao.
aisee nimesoma prospectus yao, very flexible. how? listen;
1. to complete a degree programme ni maximum of 6 yrs na minimum of 3 yrs. so unaweza tumia 3, 4, 5, 6 yrs na itadepend na kasi yako
2. masters zao ni 3 yrs maximum na 1.8 months minimum.....ipo makini ngoja niwatembelee kesho ofisini kwao nijue zaidi.
mimi nataka nisome while working, OUT will be my better option/priority.
Kama ni TA wa ukweli, usiende kupoteza muda wako. Kasome sehem utakayopata uwezo wa kutosha kuwasaidia unaofundisha. Kila qualifications inatakiwa iendane na matumizi yake.aisee nimesoma prospectus yao, very flexible. how? listen;
1. to complete a degree programme ni maximum of 6 yrs na minimum of 3 yrs. so unaweza tumia 3, 4, 5, 6 yrs na itadepend na kasi yako
2. masters zao ni 3 yrs maximum na 1.8 months minimum.....ipo makini ngoja niwatembelee kesho ofisini kwao nijue zaidi.
mimi nataka nisome while working, OUT will be my better option/priority.
Ungekuwa ni mwanafunzi wa kawaida ningesema okay.....Lakini kama TA nitakushauri ukakae kutulia kwenye programs ambazo sio kama za OUT.....
By the way kama unaona OUT kinaendana na malengo yako "mengine" sio mbaya nenda but i doubt like you are going to miss something important kama TA
nenda havard kama vipi!? Unaomba ushauri unakuwa mbishi sana!!!! Nina wasiwasi na kama wewe ni t.a wa ukweli toka chuo cha ukweli mwenye g.p.a ya 3.8[sup]+[/sup]habari wandugu.
Katika kusaka masomo ya masters, naona out imetulia, masters-mba inaprogramme nzuri-marketable na wanatoa through 3 options; distance learning, evening mode-dsm only na executive(mwanza,mbeya, zanzibar na arusha). Swali ni je; mimi ni tutorial assistant ktk moja ya vyuo vikuu hapa nchini, je ni sahihi nikisoma mba via distance learning au ni njia ipi itanifaa? Je distance learning inakubalika kwa wakufunzi wa vyuo vikuu????
Wajuzi watujuze
kwani OUT ni mbaya?? ubaya wao je?? mbona MU wanaita MBA yao maharage ya mbeya? UDSm nayo wanasema inadesa sana? jamani kwani tukiwa skuli what criteria do we most look to asses its competency??
Kumbuka lakini mjadala ule kuuvusha kutoka open kwenda conventional pia yanahitajika maelezo ya ziada. Sina hakika na huo U-TA wako uko wapi. Nyingi ya taasisi zetu hawatakubali promotion kwa academic staff kwa qualification ya OUT. Kifupi, achana nayo kwa sasa. Uwezo unaozungumzwa hapa ni ile interactivity ambayo ni muhim saana kwa mtu anayekuwa kwenye academics, close supervision, ubora wa Waalim wanaokufundisha lakini pia malengo yako ya baadae. Kwakuwa OUT, mbeleni utahangaika saana hasa kama huwa unawaza exposures kwenye high level kimataifa. Kwa ujumla muda wa kujijenga ni sasa kwa kuongeza uwezo kwenye vyuo bora zaidi ili uweze kushindana.Hitimisho lililotolewa katika mjadala uliiofungwa ni kwamba kila chuo kina mapungufu yake. Ubora wa mwanafunzi ni juhudi binafsi na sio za chuo ha hivyo chuo kinamwezesha tu. Hoja inayoelekezwa OUT sio mbaya lakin ni muhimu kuizingatia mintarafu muda wa kumaliza. Kuna rafiki yangu alimaliza kozi work ndani ya mwaka moja lakin tangu 2007 hadi leo dissertation yake haijapita. Hivyo kama mtu ni TA tunatarajia amalize mapema ilie aende PhD akiwa kijana mwenye nguvu na kuifanyia kazi hiyo PhD yake.
Hitimisho lililotolewa katika mjadala uliiofungwa ni kwamba kila chuo kina mapungufu yake. Ubora wa mwanafunzi ni juhudi binafsi na sio za chuo ha hivyo chuo kinamwezesha tu. Hoja inayoelekezwa OUT sio mbaya lakin ni muhimu kuizingatia mintarafu muda wa kumaliza. Kuna rafiki yangu alimaliza kozi work ndani ya mwaka moja lakin tangu 2007 hadi leo dissertation yake haijapita. Hivyo kama mtu ni TA tunatarajia amalize mapema ilie aende PhD akiwa kijana mwenye nguvu na kuifanyia kazi hiyo PhD yake.
Kumbuka lakini mjadala ule kuuvusha kutoka open kwenda conventional pia yanahitajika maelezo ya ziada. Sina hakika na huo U-TA wako uko wapi. Nyingi ya taasisi zetu hawatakubali promotion kwa academic staff kwa qualification ya OUT. Kifupi, achana nayo kwa sasa. Uwezo unaozungumzwa hapa ni ile interactivity ambayo ni muhim saana kwa mtu anayekuwa kwenye academics, close supervision, ubora wa Waalim wanaokufundisha lakini pia malengo yako ya baadae. Kwakuwa OUT, mbeleni utahangaika saana hasa kama huwa unawaza exposures kwenye high level kimataifa. Kwa ujumla muda wa kujijenga ni sasa kwa kuongeza uwezo kwenye vyuo bora zaidi ili uweze kushindana.
uwezo wa kutosha unapatikana wapi huo???
Anamaanisha you are knowledge creator as well as knowledge provider, usisome kwa kulipua, give yourself time, explore those books and be academically equiped to serve the cociety
Hivi chuo kama out kinafundisha wanafunzi ili wawe compitence au ili wapande vyeo kwenye office zao 2,maana kama mhitimu wa convectional university 2 anahitimu akiwa still yuko shallow,huyo wa out ye anakuaje wajamen?
ni lugha yangu ya tatu so cjui unashangaa nn mkuu?Nimeipenda hiyo sehem yenye red colour. Kwa hiki kingereza tusiwaluamu saint kayumba wala shule za kata.