Flipper Zero, kifaa cha kidigitali kinachoweza kutumika vibaya kwenye udukuzi wa funguo za magari na password za simu

Flipper Zero, kifaa cha kidigitali kinachoweza kutumika vibaya kwenye udukuzi wa funguo za magari na password za simu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya.

Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka kuwa mbaya kwa wanaotumia kwa njia ya uwovu kwenye mambo mengine.

Wakati napitapita kwenye mitandao nikakutana na wabobezi toka DEFCON ambao hujumuishwa manguli na kuwekewa dau nono kuanzia wezi, mafisadi, matepeli, wasomi, n.k ili mradi tu unaweza kutumia ulichokijua kwenye toknolojia swala la ulinzi na usalama kwenye udukuzi.

Wakati naendelea kupembuzi nikakutana na kifaa wakikitaja kama flipper zero. Kifaa hiki ukiingia youtube kuna mambo machache ambayo yatakushangaza na mengine naona yameondolewa labda ya usalama. Kifaa hiki ni moja ya vifaa hatari vinavoweza kutumika kwa hudukuzi.

Kama kinaweza kucrone funguo za mawimbi na kufungua gari basi ni hatari pale wakati unafungua gari lako wakakutegeshea.

Matumizi mingine nimeona kikifungua nywila za simu janja bila muhusika endepo utakiunganisha.

EEEEEEEE.png
 
Kweli mkuu kuna kampuni inaitwa smartkey. Gari yako ukifunga mfumo wao, mtu akiwa na Flipper zero anaeeza kuliwasha
 
Back
Top Bottom