Flirting out

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Jamani msaada, hivi mtu akisema she/he has been flirting out wth someone, wat does it exactly mean?
 
It means exactly what it means....she/he has been flirting with someone!
 
Dictionary.."to act amorously without serious intentions; play at love".. kwa kifupi ni kama matani ya mapenzi lakini hayana nia mbaya wala hayana nguvu.. Mimi sio mtaalamu wa lugha lakini nadhani kuna tofauti kati ya ku-flirt na ku-cheat..

Ila becareful, kwa sababu hii lugha sio yetu, ukisikia mtu anasema hivyo, anaweza kuelezea jamaa ana nyumba ndogo au jamaa anatoka kiukweli kimahaba..Yaani kama issue inakuhusu..imeshakula kwako..
 
U r so rude, u knw.., f u cant help sio lazima upost, am jst askin wat exactly doz t mean? gat t?

Basi na wewe usiwe mkali ndugu yangu...maana umeomba msaada kila mtu atatoa msaada kadiri awezavyo ...elewa hapa watu tuna akili tofauti kila mmoja....
 
..................kufanya uhusiano wenye lengo la ngono tu...........kwa kifupi hit and run.
 
Basi na wewe usiwe mkali ndugu yangu...maana umeomba msaada kila mtu atatoa msaada kadiri awezavyo ...elewa hapa watu tuna akili tofauti kila mmoja....
aaaaa,afadhali umeokoa jahazi.,hahahaaaa
 
Haya faidi basi...kua FLIRTATIOUS ni sawa na KUJISHAU.Nadhani unaelewa maana ya kujishaua kwahiyo sina haja ya kuielezea.Na kuFLIRT pekee ina maana ya MBEMBELEZI (hali ya kubembeleza )...mara nyingi japo sio zote hua inasuggest anaeflirt yuko interested au anamLIKE tu anaeflirt nae kwahiyo wakati mwingine yaweza kua utani tu kama watu wafanyavyo makazini.Unakuta fulani na fulani wanachekeana chekeana sana...msg wanazotumiana zaweza kua sio za mapenzi ila kama wewe hujui mahusiano yao unaweza kuhisi ni wapenzi...wanakua na ukaribu wa kutosha kuwashawishi wasiowajua kudhani wao ni PAIR!!


Hope nimesaidia!
 
 
Basi na wewe usiwe mkali ndugu yangu...maana umeomba msaada kila mtu atatoa msaada kadiri awezavyo ...elewa hapa watu tuna akili tofauti kila mmoja....

Asante mkuu, nimekupata, sema tatizo watu wengine wanaleta utani katika serious issues...!
 

Senx, hapo now nimeelewa, n sor for th way I reacted, u knw this thing inanihusu, t's ma GF, kuna wakati tulikuwa tumegombana for couple of months n we were about to brk up, so jana when we met she just tod me kuwa she's been flirtin out with someone by tht tym but nat in sexual rlship. So was so curious to knw about ths thing..!
 

mkuu nimekupata n thnx for mwanzoni, lakin hapo kwenye bolded red mbona umeamua kujustfy kabisa..!!
 
No i don‘t "gat t"!!

Acha uchokozi Lizzy mbona wewe unapenda magomvi na watu?!! mwenzio anataka kujua msaidie ama mshauri inaonekana bado mdogo kwa haya mambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…