Floods killing Kenyans...no body reports

Covid 19 has given Jubilee Government $750m from IMF, huo ni mpunga mrefu sana ni kama (1.6tri Tsh), mzee the Covid Hoax pays off big time,
huko kwenye Mafuriko hakuna hela, Hakuna mwanasiasa wa Kenya atapoteza muda huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatesekaje na matunda mabovu kama sio ukichaa?.
Waachieni wenye nayo yawadhuru, nyie vibaraka waandamizi hamuiwezi hii giant nation endeleeni kujipendekeza tu mnataka Tanzania ishindwe kwenye utu kama mlivyo nyie?
Yanaoza yanatoa uvundo lazima tujaribu kutatua hilo hata Kama ni kufunga mipaka.
 
Tatizo sio kutoa taarifa, Taarifa hata ikitolewa kama hakuna kinachofanyika hakuna maana yoyote,
Tena vile huwa mnamwaga mapovu Kule tweeter na Majamaa ya Jubilee yanapiga tu pesa, Kelele za Vyura hazimzuii tembo kunywa maji,
Watu wamekunywa Chai ya 40m Ksh, hii Covid inalipa sana kwa Viongozi na serikali ya Jubilee

Jubilee thugs managed to collect m750$ cash from IMF, imagine huo mzigo wooote mikononi mwa kina uhuruto *****,
the way I know Kenyan Government hakuna atakaepoteza muda huko kwenye Mafuriko yasiyo na maslahi,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatesekaje na matunda mabovu kama sio ukichaa?.
Waachieni wenye nayo yawadhuru, nyie vibaraka waandamizi hamuiwezi hii giant nation endeleeni kujipendekeza tu mnataka Tanzania ishindwe kwenye utu kama mlivyo nyie?
No need of getting angry, Tanzanian, Kenyans and Chinese are brothers
 
Since when?
Those Kenyans are puppet's all the way from Kenyatta's era!
Undugu sio kufanana ni kufaana.
Since the beginning of the universe we where brothers. Thats is why our fellow brother always marrying Kenyan Cupid mentioning few A.Y, A. Kiba, Chibu, Muumini, Dimpo and others
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…