Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyu Edzen nae ni wa kupimwa akili kabisa..hivi kweli nini kina mfanya ajidhalilishe namna hii?
anapenda mteremko atakua POWER BANK mwache aendekeze shida
Teh Teh yani hadi anamchuna Mtambo mbuta....
Duu kila nikiangalia hile video nacheka sana yani full mtambo..
Hivi huyu Mbuta alipokuwa Tanzania dish lilikuwa limesha legea kiasi hiki?
akili zake atakua kaziacha migombani...nachekaga sana anavosema lema alimbaka ha ha ha
akili zake atakua kaziacha migombani...nachekaga sana anavosema lema alimbaka ha ha ha
Lema yupi alimbaka??