Flora Mbasha achumbiwa, kuolewa tena

Olewa tu dada upate amani ya kukaa kwako. Bila hivyo utasumbuliwa sana kwani umbo lako linapagawisha wanaume.Hii nimeipata kwa wanaume niliosikia wakikuzungumzia!
 
Hakuna kanisa la kilokole linaweza kufungisha ndoa ya wazinzi. Na kama lipo ni sinagogi la shetani.
Mungu anachukia kuachana sembuse kuoa au kuolewa na mzinzi.
Isipokuwa kwa habari ya uzinzi
 

Kuna mambo mengi ya kujifunza hapa. Kwanza, duniani wawili wawili. Pili, kuna watu sasa wameigeuza dini kama mtindo. Tatu, viongozi wetu wengi wa madhehebu wanachoangalia ni pesa toka kwa waumini wao na si kuwangongoza watu katika njia iendayo kwa Baba. Nne, nk.
 
Unataka akuoe wewe.

Hili jiji kubwa lina vituko...................
Wewe namna gani vp huko upstairs ?
Au Labda hukulifahamu swali lakini umerapia kujibu !
Niliuliza kama ana mke !
Hilo la kusema eti kutaka anioe mimi umelizusha wewe kwa u-mombo wako ,unajua jinsia yangu au wewe ni waleee ...!
Acha usabasi huo ...,au mkewe ndo wewe?

Jiji la kichwani mwako ndio lenye vituko !
Ila kiuhalisia majiji hayana vituko kabisa ila visirani kuntu kama wewe ndio mna vituko !
Wewe kweli ni nyanya ....do !
 
Mathayo 5:32 na 19:9. “isipokuwa kwa habari za uasherati” MZINIFU AKIOLEWA HATA YULE ALIYEMUOA AZINI asante Mungu


Alishatubu akasamehewa dhambi yake
 
Wanadada tujifunze hizi mambo za kuolewa unabadili na jina la Babayako mzazi unabeba la Bwana, Mkivurugana unarudi tena kubadili jina
 
mimi namjua huyu dada kama ninavyojua kiganja changu hawezi kuolewa na binadamu wa aina yoyote ile hii ni scandle tuu imetengenezwa na baadhi ya wajuzi wa mambo niulizeni mimi kama hamjui namfuatiliaga usiku na mchana
 
Hyo mbasha nae hajui kuchagua, florah Ana sura pana kama flampeni ya vitumbua,mfyuuu
 
Inasikitisha sana they both have stressful face Ile nuru yote inepotea
 
Hakuna kanisa la kilokole linaweza kufungisha ndoa ya wazinzi. Na kama lipo ni sinagogi la shetani.
Mungu anachukia kuachana sembuse kuoa au kuolewa na mzinzi.
Unajidanganya ndugu....Makanisa ya Kilokole ndio chaka la wazinzi kwenda kufunga ndoa zao huko...

Huko unafunga ndoa hata mara 50... We toa pesa tuu....Nj makanisa njaa
 
mimi namjua huyu dada kama ninavyojua kiganja changu hawezi kuolewa na binadamu wa aina yoyote ile hii ni scandle tuu imetengenezwa na baadhi ya wajuzi wa mambo niulizeni mimi kama hamjui namfuatiliaga usiku na mchana
Hebu tiririka mnajuaje...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…