Flora Mbasha afunguka, ni hatari sana

Pole kwa ndoa hii. Huruma yangu iko kwa watoto maana iko siku watayasikia na kuyasoma haya ambayo wazazi wao wanatamkiana. Unadhani watajisikiaje ndani ya jamii? MUNGU aipe ndoa hii roho ya kusameheana kisha warudiane baada yakuondoa tofauti zao. Japo maji yashamwagika!!!
 
watumishi wanaombana tigo...? aisee naamini sasa kuwa si kila asemaye bwana bwana ataurithi ufalme wa mbinguni...

Hapa ndipo nazidi kuelewa ule msemo wa 'kinachookoka ni roho, mwili unabaki vile vile'!

Mwanamke alielelewa ktk maadili mazuri hawezi kutamka publicly mambo makubwa kama hayo ya chumbani???

Hii itawaathiri sana watoto na watu wengine wanaowatazama km role model wao😕
 

yani kuna vitu unajua ni aibu kumwadithia ata rafiki yako...ni aibu....
 
Haya ya kuangalia sura ya mwanaume haya ndio matokeo yake.si wengine wa kawaida sana lakin maisha mazuri sana ya ndoa
 
yani kuna vitu unajua ni aibu kumwadithia ata rafiki yako...ni aibu....

Defensive mechanism.

Flora anataka kuaminisha umma kuwa kwa kuongea hayo aliyoyasema ndio itahalalisha yy kwenda kuzaa na Mch' Gwajima???

Never on earth
 
Kama kweli Frola ndio angekuwa ameyaongea haya, basi media zote zingejaa stori hii.
 
Kama haya maneno ni kweli yamezungumzwa,,

1. Maisha ya mtoto wao kwa kiasi kikubwa wameshayavuruga na huenda ikamwathiri kwa maisha yake yaliyobaki kama hatapata uangalizi wa karibu

2. Unaposema kuna mambo huwezi kuyazungumza kwa sababu ya maadili na kuwa unamuheshimu mzazi mwenzio then paragraph inayofuata unasema alikuomba mapenzi kinyume na maadili sidhani kuna jambo la aibu zaidi ya hilo kwa wanandoa ni laana kwa dini zote na ulimwengu uliostaarabika

3. Huwez pigwa chumbani housegirl sebulen asijue na atamuhadithia haousegirl mwenzie nyumba ya jirani then mama mwenye nyumba ya jirani then kwa shogake then yamesambaa, so kuna walakini hapa,

4. Mimi binafsi naona uhusiano wao umefika mwisho sioni uwezekano wa wao kurudiana kwa ambayo tumeyasikia binadamu hatuna moyo wa kusamehe na kusahau mambo mazito kama hayo tuliyoyasikia na kama ni kwel ni ya kutunga na si ya kweli ni ngumu sana mm siwezi hongera kwa unayeweza kudamehe na kusahau,
5. Ushauri wangu naomba wanapoenda kwenye media kuongea hayo wanayoongea kwanza wamfikirie mtoto wao ndugu zao wafuasi wao wanapandikiza chuki mbaya sana mioyoni mwa watu, hivi nn kitatokea ikigundulila kuwa ni kweli mbasha alikuwa anatenda yote haya ili aoe mwanamke mwingine huyo mwanamke atajisikiaje, kama flora anafanya hayo ili apate uhalali wa kuvunja ndoa yake afanye yake kwa uhuru who knows
 
watumishi wanaombana tigo...? aisee naamini sasa kuwa si kila asemaye bwana bwana ataurithi ufalme wa mbinguni...

Hivi we kwa kuwaangalia tu miaka yote hii ndoa ulikua hustukii kua mtumishi alikua mmoja tu kati yao, mwingine alijificha chini ya kivuli cha mwenzake. Sasa je yupi alikua mtumishi kati yao kazi kwako kujua
(ila ukweli wa hii ishu wanao wenyewe)

 
Naomb Mtoa Mada.Utueleze Chanzo Chako Cha Habari N Kipi.Nahic Maelezo Hayana Ukwel Wowote.
 

hakuna ukwel wowote hapo na inshu ya kubaka mbn hazungumzii alikuwa kimya kumbe alikuwa anapanga kutupa upuuzi huoo mjinga kweli mwambie ajipange tena
 
Mwaka huu tutasikia mengi,jide nae kaamua kufunguka leo kuhusu Gadner
 
huu ni uongo kabisa,miaka nane anapigwa halafu akavumilia! Kwa dunia ya leo hakuweza kuwa na account hata joint account basi na mumewe! Flora anatafuta sympathy with cheap reasons
 
Ngoja nimwiite jukwaani The bold karibu
 
Last edited by a moderator:

uwongo uwongo mara 1000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…