Flora Mbasha afunguka, ni hatari sana

Mh! Hapo kwenye kutoboa ugali pameniacha hoi! Kumbe hta wapendwa wanafanya hka ka mchezo! Ama kweli ndani ya ndoa kuna ka serie kenye episode tam kama alivyonena mtaalam wa mambo Rohombaya!

hakuna kitu kama icho ni kuchafuana tu
 
Walokole wengi wanamambo ya ajabu sana Kwa kisingizio cha dini, wanaongoza kwa mambo machafu sana then wanajifunika shuka la ulokole lakini kwenye matendo ya siri ni aibu tupu, kikubwa Kwa hatua waliyofikia kila mtu achukue hamsini zake na aanze upya na mbaya atajulikana tu cause tabia hazijifichi.
 
uongo mwingine bwana, mtu from no where aanze tu kulala na panga kilasiku kwa ajili yako? Anyway, ungekuwa unapigwa na panga ungekuwa hivo ?
 
Kumbe Emmanuel Mbasha ni Basha kama jina lake? Swala la kuomba tiGO kwa mkewe ni shida.
 

we mwongo sema ni umalaya tu unamsumbua flora, tigo ni kawaida yake kutoa hata kwa wengine, msimzingue emma.
 
Cmtetei mbasha maana cmjui n wala cjawahi kkutana nae, ila Hugo mdada flora n muongo mpk nacheka mwenyewe n cjui anapata wapi gats za kusema uongo huo.
 
Kama ni kweli inasikitisha ila nataka kuweka sawa jambo moja.......tafsiri ya Flora ya uasherati kuvunja ndoa ni tafsiri POTOFU.....Yesu hakumaanisha namna "watafsiri huru" wakiongozwa na roho mtakavitu wanavyotafsiri......kama kubeba mistari ya Biblia ingekuwa rahisi hivi basi hata Yesu aliposema tajiri kuona ufalme wa mbinguni ni ngumu kuliko ngamia kupenya tundu la sindano basi maana yake ni tajiri hawezi kuona ufalme wa Mungu maana nini ngamia....hata inzi hapenyi tundu la sindano.....tumsifu Yesu Kristo....

CC Otorong'ong'o RGforever Mkuu wa chuo Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Dah inamaana alishindwa kwenda kwa wakwe kulalamika then agome kurejea nyumban mpaka mbasha abadilike huyu dada bado nampa hamsin kwa hamsin
 
Naona maelezo yote niya uongo hapo....sijaona cha yy kusema hataki kuweka hadharan wakat watu wanataka kupata ushahid na cyo porojo
 
Mkuu, watu wengine wanachukulia mambo literally, kama ulivyosema hapo juu... ndio maana unaona kuna madhehebu mengi kila mmoja akiona yupo sahihi, kwa ajili hiyo... RGforever siku hizi simuoni sijui yupo wapi, tukirudi katika hii stori kama hayo aliyoeleza Frola ni ya kweli, basi huyo Mbasha hafai hata kidogo ni mtu wa ajabu sana

Alikuwa anataka kwenda hadi Sodoma tena kwa mkewe ni jambo la ajabu sana... kwa mtindo huo huyu jamaa hafai
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…