Flora Mbasha afunguka, ni hatari sana

Hii couple nilivyokuwa naipenda na kuiamini........... nguvu zimeniishia!

Khaaa? Unawaamini watu kwa kuwaona wanashikana viuno barabarani? Dah uko nyuma Sana na wakati
 
Ulikua wap kusema cku zote?
Halafu unasema hukutaka kumvunjia heshima,Na hiyo Mimba ndio umempa heshima? Gwajima hataki kupima DNA na mume anasema sio mimba yake....b.I.t.c.h please
 

Wewe umeoa? Ama umeolewa? Unaongea ujinga kabisa! Unajua jamaa hao walianzaje mtanange wao? Ficha ujinga wako!
 
Pole sana frola, wanawake wanakumbwa na unyanyasaji wa kila aina, wanajitahidi kuficha siri ili kulinda heshima tu. songa mbele day haki yako kwani huyo sio mume sahihi kwako,

Ule mkutano wenu wa Beijing mbona hamjawahi kurudia tena? Mi nikikuoa maaanina lazima utii sheria zangu, ukileta ujuaji nakudunda tu!
 
Maisha ya ndoaaaaaaaa....
Yanafanishwa na safariiiiiiii.......
Njiani kuna mambo mengiiiii...
Yahitaji uvumilivu sanaaaaa.....

huu wimbo mliuimba kwa hisia sana na mmeo kumbe mlikuwa mnatafuta pesa tu wapumbavu wakubwa nyie.....

Hahahahahaha dah
 
Wajiandae kuwa wazinzi sasa. Maana hapo ndoa mpaka mmoja afee
 
Defensive mechanism.

Flora anataka kuaminisha umma kuwa kwa kuongea hayo aliyoyasema ndio itahalalisha yy kwenda kuzaa na Mch' Gwajima???

Never on earth

mmh mbona sasa anajidhalilisha tu....
 
Ni bora ushahidi wake angeutumia tu huko mahakamani, kuanika haya mitandaoni ni kujishusha sana hasa kwa mtu ambaye kimaadili alitakiwa awe mfaano.

kabisa....hii mitandao imewafanya watu kujiachia sana ...wakati kuna vitu vilipaswa kutojulikana na jamii kabisa....
 
Jamaa anataka kuzibua mtaro wa minjingu. Hahahahaaaa....Ina maana mdogo wa Flora alisaidia jukumu alilotakiwa kutimiza dada.
 

Pengine kuna meusi zaidi ya hilo, nani ajuaye.
 
Mmmmmmhhhhh hizi ndoa hizi , maelezo haya ni vigumu kuyaamini au kutoyaamini wenyewe wanaujua ukweli , kwani kila mmoja anajaribu kuelezea ubaya wa mwenzake ili mradi mioyoni mwao wanajua uhalisia wa mambo yote. Hivi kweli mtu alale na panga kila siku wewe upo tuu husemi na anakutishia kukuua, nashindwa kuamini lkn huenda ni kweli.
 
Flora Mbasha....Mala..ya aliye kubuhu...!!! sasa anataka kuhalalisha umala.aya wake......!!!

Gwajima ndio alikuwa anamla tigo sana snaa..tu...so kamchanganya anatafuta sbb ya kuachana na mumewe kwa kisa cha KUNYANYASWA...kufanyiwa ukatili...huo ni uongo mkubwa...mumewe alijua Flora anafanya mapenzi hovyo hovyo huko nje hasa na Gwajima...sasa mumewe kuwa mkali na akaweka public akaona imekuwa AIBU KUBWA SANA....NA KAZAA TAYARI NA GWAJIMA....so sasa anatafuta talaka....ushetani umemjaaa sana huyu Flora....ila her days are short...mwanamke wa hivyo ningemshauri Emanuel amwache mara moja...!!!

Kwa haraka haraka, kwa wale wenye deep eyes, ukimwangalia FLORA NI KA.HABA....hana maono ya Mungu...ni mhuni wa kutupa...anajiuza sana....na hii yote ni sbb alishakuwa hivyo tokea mwanzo...anatumia jina la YESU...MARA MUNGU...kuficha uma.laya wake....!!!

Emanuel, chukua ukakamavu wa kiume, tupaaa kuleee huyu shetani mwanamke....!!!
 

Subiri mwanao wa kike yamkute ndiyo utaelewa kwanini hakuyaleta nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…