Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Wanaume huwa wanazaa nje ya ndoa pia
Daah, nilikuwa nafatilia kulf fb aisee kama ni kweli mtoto ni wa Gwajima, je kama mchg inakuwaje unazaa na mke wa mtu? je gwajima ana mke au?Je huu ndio utumishi? ninakitabu cha gwajima kinaitwa mega church amezungumzia kuhusu jinsi waumini wanavyopaswa kuwaheshimu wake za Watumishi, inakuwaje leo? Flora kama kweli amezaa na gwajima kumbe kelele za kumpakazia kubaka mmewe Emma ilikuwa ni uongo ili ale maisha ya kitapeli na Gwajima? Hakika Mungu anaishi. Mungu mtie nguvu Enanuel kijana mwenzetu.
hata kama ni mapenzi yaani unasaliti mpaka unazaa nje ya ndoa tena ya kanisani?
Ondoa uzushi wako wa kishetani hapa. Kwenda huko pepo uwongo!!!!!!!!!!!.
Pyuuuuuuuuuu!.
Mtaendelea kujijengea laana hadi lini? Mtamsaidia shetani huku mkidhani mnajifurahisha hadi lini? Kwenda zako kule.
...tena sana...kuna wengine wako kule jukwaa la celebrity wanasubiri umbeya wa eric shigongo toka juzi....watanzania tunapenda sana umbeya
Mkuu vp mbona povu linakutoka? Umeona pic ya motto?
...aseeee we jamaa ..ungekua karibu ningekupiga ofa ya kinywaji unachotumi..kwa hilo swali lako...Hivi ninyi mnaong'ang'ania mtoto ni wa fulani...
Baba zenu halisi mnawajua?
wala my binamuuu
we unamuonaje kwani?
anafanana kweli na baba ake halisiiiiii