Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu

Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu

ras mkweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
280
Reaction score
105
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Inili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.

Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?

Kuna la kujifunza hapa? fuatilia ukoo wa Flora, na Mbasha, then, watazame sura zao wote, Unajifunza nini hapa hasa wale singles?[/QUOTE]

Inaonekana unawajua vizuri weka mistari kidogo!
Anzia Baba na Mama je ndoa yao inaendelea au kwisha siku nyingi !
Watoto je kuna walio oa waka acha au kuolewa wakaachika?
Je wangapi Umri umewatupa waume kwa wakike?

Huyu Mjukuu wa Moses Kulola anaenda mbali sasa,akiangalia wakovu alio nao na dhambi alizo samehewa pale msalabani anashindwa kumsamehe mume wake?kweli waitwao ni wengi lakini wateule wachache

Wokovu Alionao...Wokovu wa kitu gani mkuu...????
 
Huyu Mjukuu wa Moses Kulola anaenda mbali sasa,akiangalia wakovu alio nao na dhambi alizo samehewa pale msalabani anashindwa kumsamehe mume wake?kweli waitwao ni wengi lakini wateule wachache

Naomba unieleweshe ni dhambi gani hizo kasemehewa angali yeye ni mzinzi tena kazini na Gwajima anayejiita mzinifu...

Wokovu ni nini..??? Unaokokea kitu gani hasa...???? Maana najua hii ni safari yenye kila aina ya milima na mambone na misukosuko..Unaokokea ni ni..???

Atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakaye okoka..??? Inamana baad ya kufika mbinguni...Wokovu unaojaribu kuuongelea hapa ni upi..
 
mbasha.jpg
MW3_My_Parents_Divorce_and_Video_Games1.jpg
 
Bold: Wokovu ni mpango kamili wa Mungu kumtafuta na kumkomboa Mwanadamu. Mwanadamu anamfikia Mungu kupitia wokovu. Dini ni mpango tu wa mwanadamu kumtafuta Mungu. kwa hio dini kama dini kwa yenyewe haimfikishi mtu kwa Mungu.

Maandiko yanasemaje khs dini?????
Yakobo 1:27 ''
Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu (haisemi ni dini inayosaidia, inasema NI KUWASAIDIA)

Red: Atakayevumilia nini mkuu Otorong'ong'o?

Wokovu ni nini..??? Unaokokea kitu gani hasa...???? Maana najua hii ni safari yenye kila aina ya milima na mambone na misukosuko..Unaokokea ni ni..???
Atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakaye okoka..??? Inamana baad ya kufika mbinguni...Wokovu unaojaribu kuuongelea hapa ni upi..
 
Wanapeana BP tuu, ataki mwenzie basi, ampe talaka Yake maisha ya songe...
 
Bold: Wokovu ni mpango kamili wa Mungu kumtafuta na kumkomboa Mwanadamu. Mwanadamu anamfikia Mungu kupitia wokovu. Dini ni mpango tu wa mwanadamu kumtafuta Mungu. kwa hio dini kama dini kwa yenyewe haimfikishi mtu kwa Mungu.

Maandiko yanasemaje khs dini?????
Yakobo 1:27 ''
Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu (haisemi ni dini inayosaidia, inasema NI KUWASAIDIA)

Red: Atakayevumilia nini mkuu Otorong'ong'o?

Nimeshasema hapa duniani tu wapitaji..Pamoja na ghaliba zote za hapa na mwovu shetani..Tunatenda dhambi kila uchwao...Hivyo hapo kwa atakaye vumilia mpaka mwisho, Namaanisha atakaye vumilia shida zote hizi hapa duniani bila kupioteza imani yake kwa Mungu (Yesu Kristo) huyo ataokoka (Ataingia katika Ufalme waMungu siku ya mwisho..

Mbona rahisi sana..
 
Bold: Wokovu ni mpango kamili wa Mungu kumtafuta na kumkomboa Mwanadamu. Mwanadamu anamfikia Mungu kupitia wokovu. Dini ni mpango tu wa mwanadamu kumtafuta Mungu. kwa hio dini kama dini kwa yenyewe haimfikishi mtu kwa Mungu.

Maandiko yanasemaje khs dini?????
Yakobo 1:27 ''
Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu (haisemi ni dini inayosaidia, inasema NI KUWASAIDIA)

Red: Atakayevumilia nini mkuu Otorong'ong'o?

Red: Kumkomboa na kitu gani....?

Ukitaka tujadili huko kwa kukombolewa lazima Tuangalie Maagano haya mawili..Jipya na Kale...Tmuangalie Mshenga wetu Yesu na ujio wake...

HAlafu mkuu kwani DINI ni kitu gani..?
 
Huu ndio Ukristo feki........Mkristo kama yeye akiwa mwimbaji injili maarufu alipaswa kuwa mfano si kwenda mahakamani kuvunja ndoa.......anakumbuka kiapo chake siku ya ndoa? anajua maandiko matakatifu yanasema nini kuhusu ndoa? Nilitegemea yeye kama "mlokole" kama wanavyopenda kujiita angesugua goti ili Mungu anusuru ndoa yake badala yake anakimbilia mahakamani?

Ukiamua kufunga ndoa ya Kikristo lazima ujue matokeo yake na uwe tayari kuyaishi ..........ndoa ya Kikristo haivunjiki na kwasisi Wakatoliki kuna mazingira ambayo Kanisa linaweza kuwatenganisha tu kama kuna hatari ya uhai wa mwanandoa lakini si kuvunja maana hii iko wazi kwenye maandiko.

Acha akaivunje kibinadamu huko mahakamani lakini Kikristo Mbasha ni mume wake hadi kifo ........akiwa na mwanaume mwingine nje ya Mbasha baada ya kuivunja ndoa mahakamani ni uzinzi tu mbele za Mungu maana alishasema alichounganisha Mungu mwanadamu asitenganishe ............

Mathayo 19:4-6 inasema hivi;-

[SUP]4 [/SUP]"Haven't you read," he replied, "that at the beginning the Creator ‘made them male and female,'[SUP][a][/SUP] [SUP]5 [/SUP]and said, ‘For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh'[SUP][b][/SUP]? [SUP]6 [/SUP]So they are no longer two, but one flesh. Therefore what God has joined together, let no one separate."
 
Back
Top Bottom