ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 105
Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?
Kuna la kujifunza hapa? fuatilia ukoo wa Flora, na Mbasha, then, watazame sura zao wote, Unajifunza nini hapa hasa wale singles?[/QUOTE]
Inaonekana unawajua vizuri weka mistari kidogo!
Anzia Baba na Mama je ndoa yao inaendelea au kwisha siku nyingi !
Watoto je kuna walio oa waka acha au kuolewa wakaachika?
Je wangapi Umri umewatupa waume kwa wakike?
Huyu Mjukuu wa Moses Kulola anaenda mbali sasa,akiangalia wakovu alio nao na dhambi alizo samehewa pale msalabani anashindwa kumsamehe mume wake?kweli waitwao ni wengi lakini wateule wachache
Gwajima amemchanganya huyu Flora kwa mapenzi yenye upako..
Huyu Mjukuu wa Moses Kulola anaenda mbali sasa,akiangalia wakovu alio nao na dhambi alizo samehewa pale msalabani anashindwa kumsamehe mume wake?kweli waitwao ni wengi lakini wateule wachache
Wokovu ni nini..??? Unaokokea kitu gani hasa...???? Maana najua hii ni safari yenye kila aina ya milima na mambone na misukosuko..Unaokokea ni ni..???
Atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakaye okoka..??? Inamana baad ya kufika mbinguni...Wokovu unaojaribu kuuongelea hapa ni upi..
Bold: Wokovu ni mpango kamili wa Mungu kumtafuta na kumkomboa Mwanadamu. Mwanadamu anamfikia Mungu kupitia wokovu. Dini ni mpango tu wa mwanadamu kumtafuta Mungu. kwa hio dini kama dini kwa yenyewe haimfikishi mtu kwa Mungu.
Maandiko yanasemaje khs dini?????
Yakobo 1:27 ''Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu (haisemi ni dini inayosaidia, inasema NI KUWASAIDIA)
Red: Atakayevumilia nini mkuu Otorong'ong'o?