Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Ujumbe mujarabu
kosea kuoa ujikute unaishi na adui yako chumba kimoja
emejuaje mremboIla walikutana Flora akiwa Bikra kabisa....
Kama sio mjukuu wa Askofu Kulola vile. Ni aibu sana kwa kweli.Anataka sasa kuishi kama atakavyo,sio kama Mungu atakavyo.Ndio,amefika mbali.She wants to be a "free builder,yes,a Freemason ."
Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi
Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process
Yaani ukikosea hapo utapata kovu la milele, yamenikuta Mimi...kosea kuoa ujikute unaishi na adui yako chumba kimoja
Froa shoga yako akakupa ubuyu.Ila walikutana Flora akiwa Bikra kabisa....
Huyu Flora si ndio wa Gwajima?
Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi
Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process
pole sana mkuu.dahYaani ukikosea hapo utapata kovu la milele, yamenikuta Mimi...
Walitoa ushuhuda.um
emejuaje mrembo
Pole sana mkuu!Yaani ukikosea hapo utapata kovu la milele, yamenikuta Mimi...