Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Mbasha anaijua heshima ya ndoa, Mungu amsaidie arudiane na mkewe, they are making a wonderful couple, I love seeing their couple!
 
Mbasha awe na amani tu.kama uzinzi hata yeye labda alifanya, kwamba hakuzaa isiwe sababu.Kama vp muyamalize tu mrudiane maana kama Mungu akihesabu maovu yetu nani angepona.
 
jamaa alikuwa mzee wa ganda la ndizi nn,life imekuwa ngumu anaomba suluhu.
 
Mkuu umenikosha sana,
Kula gwala,
 
aliyekula kala na kashiba na sumu kamwaga kabisa bado jamaa anaona heri akafie hapo tu. big up papuchi
 
Mbasha anaijua heshima ya ndoa, Mungu amsaidie arudiane na mkewe, they are making a wonderful couple, I love seeing their couple!
Km mwenzake hataki hauoni kuna kuuana mbele huko
 
Wanawake punguzeni makeke chumbani mtatuua, ona sasa huyu ndugu yetu sijui alifanyiwa nini chumbani na flora masikini.
 
Mbasha ni mjanja mjanja na ni mtoto wa mjini anataka kick za media wala hana shida na flora by the way ampe salaam naibu spika dr tulia...
 
huyu jamaa juzi kati alikuja msibani mitaa ya mbezi africana kwakuwa simjui kwa sura nilimpotezea tu nikidhani ni mkongoman ila kuna jamaa akaniambia yule ndo mbasha aliyekuwa mme wa flora ikabidi nimuangalie tena kwa jinsi alivyojichubua hata nyoshi anasubiri alikua ameongozana na wapakapoda wengine wamenyoa viduku amevaa koti la suti na jeans zile za dada zao kuivua hadi ulale chali, kimuonekano tu niligundua ni mtu mpuuzi, big up masanja jamaa anajua nguo gani inavaliwa sehem gani nahisi ndo alimpa lifti huyo mbasha muda wakuondoka
 
Kwani ni nani anamkula kwa sasa huyo Flora Mbasha?????
 
Mbasha ni mjanja mjanja na ni mtoto wa mjini anataka kick za media wala hana shida na flora by the way ampe salaam naibu spika dr tulia...
Mmmmh BAFA, amsalimie Dr Tulia, kivipi?
au huyo Mbasha naye alilamba ubunge wa Viti maalum?
 
Dahh mkuu busara yako ipo juu sana maneno adhwim sana hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…