Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Mangatara una point lakini;
Nakushauri uwe unafuatilia mwendelezo wa post kabla hujajibu hiyo post, ni kweli ms lincolin alipost post tatanishi kuwa Flora alikuwa bikra, lakin katika mwendelezo akafafanua ni wapi alisikia hivyo, kwamba Mbasha alisimulia wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya ndoa yao...lakini kwasababu uli react mapema ndipo twaona kuwa ulikosea kwani tuliofuatilia maelezo tumepata majibu.
Siku zote usiwe mwepesi kuhukumu kabla hujafanya utafiti wa jambo lolote lenye utata.
Nimejaribu kueleza haya baada ya kujitambulisha KUWA NI BORN AGAIN....ungekuwa mla mirungi ningepuuzia...chukua tahadhari na usiwe na hisia kali jf utakosea
 
Walitoa ushuhuda.
wakati wakitoa historia ya penzi lao 'tamu' na 'tukufu' katika gazeti kipindi walipotimiza miaka kumi ya ndoa,waliipa jina 'miaka kumi ya ndoa bila DOA'.

hahahaaha ndoa ndoano
 
The moment una mwanamke ambaye ana mafanikio au famous zaidi yako..aisee jiandae kwa lolote..
 

Mkuu;
Nashukuru kwa kuniweka sawa na ni kweli nili react mno baada tu ya kumsoma mchangiaji kuwa ati Flora alikuwa bikra. Hiyo tu iliniumiza sana kwani hatuna haja ya kuwasemea watu mavitu hayo. Aksante
 
Mkuu;
Nashukuru kwa kuniweka sawa na ni kweli nili react mno baada tu ya kumsoma mchangiaji kuwa ati Flora alikuwa bikra. Hiyo tu iliniumiza sana kwani hatuna haja ya kuwasemea watu mavitu hayo. Aksante
Duh afadhali umeliona na kulikiri kosa lako, utaiona Mbingu usijali.
 
Hao waimbaji wa injili wa kike hawaimbi kwa ajili ya kumtukuza Mungu bali ni njia ya kujipatia fedha na kujijengea popularity.Ni malaya wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…