Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Madam Flora wapi aseme tu tumuite Flora Gwajima. Siku hizi kwa Yesu talaka zipo.
 
Hatujaona kabsa this year
Lakin nakuwish mwaka wenye mafanikio ya kutosha.

Na tuendelee kuonana sanaa
Ahsante sana, tutaonana tu maana Mungu anatuwazia mema.
Mungu akamilishe yote mema aliyoyaanzisha huko nyuma (mwaka jana).
Pamoja na hayo, naona misimamo yetu kwenye hili swala inapingana.
Hii ndoa ya KIKRISTO, haivunjiki, ndio maana anamng'ang'ania mke wake na sio ubwege.
Akimwacha adui ndio atakula kiulaini. ila siwezi kuongea sana maana siishi nao hivyo sijui mambo yao kiundani.
 
Kama mwanamuziki wa nyimbo za injili alipaswa kuwa mfano mzuri ila kwa anayoyafanya namshauri aachane na muziki wa injili aimbe nyimbo za kidunia tu maana huko ndiko anakofaa.
Kwani wanamuzi wa injili hawapitiwi na majaribu? Hebu tuacheni unafiki wa kuzungumzia maisha binafsi ya watu!
 
Ameen! Ahsante kwa wish

Ila huyu mbasha alifanyiwa tukio pekee linalo ruhsu talaka kwa mkristo, mke wake alizaa nje ya ndoa.
Sasa kinacho msibu either ni njaa, au ubwege ule wa kupenda hadi kupitiliza ndio maana anajifanya ana ng'ang'ania
 
ni mshamba aliyeacha doa kubwa kwenye ukristo. anasema hataki kuanika ndoa yake wakati alianika kila kitu na yeye ndiye alikuwa wa kwanza kuanika ndoa yake hadharani hata kabla ya mume wake, baada ya kuwapa watu faida wakaigaragaza, sasaivi ndo anastuka. aibu tupu na muziki wake hauuzi tena ni mtu wa kutangatanga tu. awe mfano kwa wengine. ukifunga ndoa, unatakiwa kuwa mvumilivu na ukigombana na mwenzio ujue haugombani na yeye bali shetani, vita vyatakiwa kupiganwa kiroho na sio kimwili, ukipigana kimwili siku zote utaashindwa kwasababu kwa nguvu za mwili hakuna anayemshinda shetani, ila kwa nguvu za rohoni tunashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…