AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
watu bana......umeuliza swali....bado na wewe hujaweka wazi ili usaidiwe duku duku lako....alafu ukishajua kaolewa na nani utafanyaje?...Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
kwiiii kwi kwi,inabidi irudi tena upesi maana naona watu wote wakule wamehamia huku, na wanataka kuendeleza mambo yakule hapa.Maana siku hizi utasikia "Ray c kanenepa" mara "ooh ritha anaumwa nini "sijui nini yaani wanaleta mambo ya kwa mzee nanhii hapa.bilivu me zeutamu inahitajika......kipindi kile ilipokuwa hewani thread za saluni hazikuwepo
jana mmoja ndio kaniua mbavu.....kauliza kwanini Mr Lyumba anakunywa maji! yaani mambo ya aibu....thread za JF cku hizi balaa...kwiiii kwi kwi,inabidi irudi tena upesi maana naona watu wote wakule wamehamia huku, na wanataka kuendeleza mambo yakule hapa.Maana siku hizi utasikia "Ray c kanenepa" mara "ooh ritha anaumwa nini "sijui nini yaani wanaleta mambo ya kwa mzee nanhii hapa.
Wakulu;
Toka Sekeseke na Shem Liyumba lianze Kisitu, nimekuwa nikimwona na chupa kubwa ya maji ya Kilimanjaro.
Kumekuwa na discussion kuwa anako kale kaugonjwa ketu kale.
Somebody tell me hii habari ya yeye kuwa na maji wakati wote ikoje?
Yaani ni balaa tupu,mtu anatoka zake kwenye vilabu sijui vya Pingu anakuja hapa anaweka litundiko lake la hovyo hovyo alafu anategemea watu wachangie ujinga wake...Dawa ya watu wanao anzisha thread zisizo kuwa na miguu wala kichwa ni kuzichunia tu next time hatorudia tena.jana mmoja ndio kaniua mbavu.....kauliza kwanini Mr Lyumba anakunywa maji! yaani mambo ya aibu....thread za JF cku hizi balaa...
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Kaolewa na mimi. Now what next???
Mkuu, nadhani kuna ukweli kwenye hili, kwenye matangazo ya BBC leo jioni, nimemsikia Sarleem Kikeke akimtania kuwa 'kwenye kidole cha chanda kuna kitu upo tayari kunambia?' Akasema 'hapana, nimefumba mdomo'
So kuna ukweli fulani, japo details ndo bado scant
Hongera Flora kwa kumpata mwenza
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Ili iweje sasa? Acha kufuatilia maisha ya watu. Wewe inakuhusu nini, huyo aliomuoa?
http://jamiiforum.blogspot.comMkuu tunaomba hii thread ya kijinga iondolewe. Flora ni dada yangu wa Damu na siwezi kuwaachia wajinga wamseme
Hiyo ni tabia ya umbea inayokusumbua. Ukimjua Mme wa Flora Nducha wewe itakusaidia nini wewe?????. Au alikuwa wa kwako na umenyang'anywa??????????.
watu bana......umeuliza swali....bado na wewe hujaweka wazi ili usaidiwe duku duku lako....alafu ukishajua kaolewa na nani utafanyaje?...
bilivu me zeutamu inahitajika......kipindi kile ilipokuwa hewani thread za saluni hazikuwepo