Flora Nducha -kiboko yao!!!!!!Maisha ya watu yanakuhusu nini? Fuata ya kwako, ya wenzako waachie wenyewe!
yaani ni balaa tupu,mtu anatoka zake kwenye vilabu sijui vya pingu anakuja hapa anaweka litundiko lake la hovyo hovyo alafu anategemea watu wachangie ujinga wake...dawa ya watu wanao anzisha thread zisizo kuwa na miguu wala kichwa ni kuzichunia tu next time hatorudia tena.
jana mmoja ndio kaniua mbavu.....kauliza kwanini Mr Lyumba anakunywa maji! yaani mambo ya aibu....thread za JF cku hizi balaa...
Mzee wengine ni vindundu... wametumwa kupiga zongo hapa pilau la JF lisiive!!! wengi hao na ni wapya, it might be a counter-production kutoka kwa maadui wa JF [ambao tunawajua fika]!!!
Soon utasikia JF inachafua watu hivyo ifungiwe....
Si vizuri kujadili maisha binafsi ya watu. Tujadili kama maisha yake yanaleta adhari katika jamii
Kaolewa na mimi. Now what next???
lol!,lol!
Am I sensing jealousy?
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Haijatulia mwanangu siyo issue! amekupiga chini unahuzuni? nini?Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???