Flora Nducha ameolewa na nani?



Mungu azidi kuwalinda kwenye ndoa yenu Bwana na bibi Awuor, Flora endelea kukamua anga za kimataifa.
 
Wow Flora! you look as good as always. That man there is blessed to have you as a wife. I remember you as a very good person and very hard working. Those days you were doing you BA degree at the same time working with radio one sterio. Ukikimbia kimbia between lectures and work (nakumbuka ukitoka kupambazua ukifka UD mara unakutana na test lol!) You used to be very busy I remember. But you manager and here you are at the UN. God has fulfilled his promise of blessing the work of your hands. To Him be the glory and honor. May His blessings keep on pouring in your home from all directions. I wish you guys a very happy marriage life because you deserve it. Amen
 

Ungeandika kiswahili ingependeza zaidi, kiingereza chako kigumu grama hovyo.Jukwaa linaangaliwa na watu wengi.
 
Siwashangai maana najua wengi mlikuwa mnasubiri arudi mumchakachue maana nyie wala hamuaminiki. Basi kusikia kaolewa kuamini mnatakaka huku hamtaki. Mmeachwa kwenye mataa hamuamini ee. Aliyepata kampata bana. Namuunga mkono yule aliyemsifia miguu. Kweli Flora ana miguu mizuri acha bana. Nimekaa naye pale hall III extension nimeiona si siri. Ila msisahau sifa zake nyingine alikuwa very polite and hard working hadi anatia huruma maana hakuwa na muda wa kupumzika. Kama hayuko chuoni basi yuko kazini and vice versa. Hata mkimponda hamumbadilishi kitu. Nyie tu
 
Wow! Hongera sana mdogo wangu mmependeza kupita maelezo. That lucky man should take very good care of you for you are so precious! I used to know you as a very good person. I hope you havent changed. Mungu azidi kukupandisha toka utukufu hadi utukufu. God's promises always come to pass as He said I will bless the work of your hands. Keep it up flo!
 
kuna tetesi mtangazaji maarufu wa tz ambae kwa sasa anatangaza bbc idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa uk mnamfahamu mumewe???

unauliza swali unajijibu mwenyewe tukupe mji??

Ndoa za watu zinakuhusu nini ama unataka kuendeleza halisi ya jina lako 4/4/ loh angalia mshahara wako usikimbiwe kujaza wake wengi
 
Flora Nducha alishahama BBC na sasa hivi anatangazia idhaa ya kiswahili ya umoja wa mataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…