Florah Lymo: How to look sexy at home

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157


Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
 
huyu dada hana ndugu wamshauri vizuri?
 
hahahahahaha nyie si mnafundishwa namna ya kuwa sexy?mbona tena mnamnanga ticha?
 
Kwani ni yeye frola au? Anafanya nini hapo? Huyu atakuwa alimbaka lema tu.
 
Ndo nani huyu@ mrembo by nature
 
She is a disgrace to all tanzanians, tufyakwa!! Puuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Hivi huyu arudi migombani hata X-mas moja kutambika?
 
hahahahahaha nyie si mnafundishwa namna ya kuwa sexy?mbona tena mnamnanga ticha?

Wazungu wamemuweka kwenye group ya mental disability, na anapata msaada kwa tatizo Hilo!! Sasa ndugu zangu tukianza mpaka watu wenye mental disability kuwaweka kwenye jukwaa la macelebrity itakuwa shughuli nzito hasaa!! Huyo ni mgonjwa wa akili!! In London watanzania wanamfahamu maarufu km Flora Mwehu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…