Ndo nani huyu@ mrembo by nature
Duh people get serious sometimes!!! Hiki ni kitu gani tena? Nimecheeeka dah, we mrembo by nature huna maana lol!!!
Hahahha nimecheka balaaaaMe nlidhani anacheza azonto bwana
Hahahha nimecheka balaaaa
Kuna vitu vya kusema Big up sio hiki!!!!!!!
kazi ipo...........uwiiiiiiii!View attachment 117634View attachment 117635
Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
Chezea mode......Erick akizungumzwa tu lazima kitu kiondolewe......
kumbe kuna watu si ruhusa kuwaongelea humu eeh? Nilikua sijui
Heaven on earth ww tangia umeanza kuona vituko vya huyu dada unamuona ni mzima!? Kama kusema tumeshasema sana ndio kwanza anazidisha ss tufanyeje bora tumsifie atapunguza madudu yake..
Hizo picha ukiziangalia kiukwel zinakera ila kinamna fulan lazima ucheke kama sio kutabasam
Mbona anaweka mapozi ya toilet?