white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
Hata Raisi mtarajiwa ana miguu ya hivyo hivyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She is a disgrace to all tanzanians, tufyakwa!! Puuuuuuuuuuuuuuuuu!
anapatikana florah lymo fassion police
mjinga huyu dada,sio mara ya kwanza kutaka sifa mtandaoni...alipigana na jestina akaenda kuweka mtandaoni km vile ni sifa.....,akaja kukwapua mume wa mtu akawa anamtukana huyo mwanamke aliyemuibia...mwishowe akaachwa amebaki kudhalilisha watu kny kiblog chake ooh wamevaa vibaya harusini,anajiona designer police ukiona nguo anazovaa utakubaliana na mie bado huyu dada ushamba haujamtoka
Huyo jestina mbona anaonewa sana jamani kuna mahali nilikuta anachambwa balaa Ila yule Dada mstaarabu sana
Humjui jestina wewe! Ana roho ya kwanini balaaaa! Team mange!
Hiyo miguu kama miti ya genge bado cjaona hahahaha!!!!
yaan mwanamke ananichekesha kweli huyu lichupi lake kama superman au mtoto anapima uzito clinic
Mrembo by nature unamiliki blog gani nataka nijage kukutembelea humo
Humjui jestina wewe! Ana roho ya kwanini balaaaa! Team mange!