Florah Lymo: How to look sexy at home

Florah Lymo: How to look sexy at home

Amenivutia sana huyu dada!
Anapatikana wapi vile, nataka nimtongoze mie!
 
Hivi kwa nini kuna bendera ta Taifa kwenye hii picha!? Anawakilisha nchi au!?

Hahaaa,jaman mbna kama miguu inakosa ushirikiano na ilo jumba,kweli huyu ni mchaga origional
 
...Kwa Hiyo ndio Wakwe zake wafike kumtembelea, wagonge hodi na kumkuta na huo Mjichupi wake huo wa Njano!! Ataacha wazee wa watu kwa Mshituko Bure!!!:A S 39:
 
Duh!kama CHURA MAZIWA,wonders will not end utasikia nae hapo alipo eti ana boyfriend!!!!!!
 
Miguu hiyo hahahahahahaha wachaga acheni utani mtashindana vipi na watoto wa kihaya?
 
Ptuuuuuuuu hovyoooooo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ila atakuwa anawakilisha pia kwa shape nzuri eeh? manake watani wangu huwa wamepunjwa makalio, sasa ukikuta alieotea kiduchu tu weeh mnakoma. nashukuru mungu ana tumiguu kama twangu:A S-confused1:
Hahaha huyu ni muwakilishi wa wachaga london, hahaha mchaga wa kwanza kufika ulaya enzi hizoooo ila naona miezi hii kama amevurugwa vile
 
Back
Top Bottom