Florah Lymo: How to look sexy at home

Florah Lymo: How to look sexy at home

ila atakuwa anawakilisha pia kwa shape nzuri eeh? manake watani wangu huwa wamepunjwa makalio, sasa ukikuta alieotea kiduchu tu weeh mnakoma. nashukuru mungu ana tumiguu kama twangu:A S-confused1:

Hahahaha watani bwana wanajiona kila kitu wapo juu, ila upande wa salio mhhhh
 
Her craziness has no limits............... This is really a world of attention seekers.
 
hata mimi nimeshangaa kuona quote eti " deo corleone commented on your post in deleted post"
nimetafuta deleted post sijaiona mpaka sasa.

ile post mbele ilimtaja jamaa wa bamaga na kumbe humu huwa hatajwi kwa mabaya!
 
Salio ni nini banaaa. Mtu hataishi kwa mkate tu. Nyika imejaa mahindi, nje kuna ndizi na maharagwe na kuku wa sikukuu. Shida gani hapo sasa?
Hahahaha watani bwana wanajiona kila kitu wapo juu, ila upande wa salio mhhhh
 
Salio ni nini banaaa. Mtu hataishi kwa mkate tu. Nyika imejaa mahindi, nje kuna ndizi na maharagwe na kuku wa sikukuu. Shida gani hapo sasa?

Salio ndo kila kitu! Bila salio wengine hata kupiga simu inakuwa taaabu!
 
ImageUploadedByJamiiForums1382589368.008693.jpgImageUploadedByJamiiForums1382589383.117412.jpgImageUploadedByJamiiForums1382589396.965431.jpgImageUploadedByJamiiForums1382589409.180202.jpgImageUploadedByJamiiForums1382589419.904354.jpg
Huyu dada siyo mzima
 
Huyu Pimbi ndio alikuwa anshirikiana na kina Chilisosi kusema Mh. Lema kambaka??

CCM ina makada duh!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom